Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
unakumbuka zamani kipindi cha nepi mtoto akikojoa inaanikwa tu haipigwi maji wala nini nadhani wengi humu walikuzwa hivoIla kwa joto la Dar na kunginepo, kuoga humsaidia mtoto kulala vizuri.