HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Alafu ni mama mwenye huyo mtoto,hapa ndo sielewagi mimi kabsa
Mi nayapiga marufuku hayo madude
Mtoto atavaa hayo mapampers akiwa anaenda kanisani tu
Nyumbani atavaa uchi au nepi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu ni mama mwenye huyo mtoto,hapa ndo sielewagi mimi kabsa
ahahaaa acheni bnaAlafu ni mama mwenye huyo mtoto,hapa ndo sielewagi mimi kabsa
..au abaki uchi tu apunge upepoMi nayapiga marufuku hayo madude
Mtoto atavaa hayo mapampers akiwa anaenda kanisani tu
Nyumbani atavaa uchi au nepi
UnaLoad nini Mkuu?!Loading
Naload hii hali, jinsi tunavyotumia tukidhani ni maendeleo kumbe tunaharibu watotoUnaLoad nini Mkuu?!
..tatizo ndo Hilo,watoto wetu ndo wanapata madharaNaload hii hali, jinsi tunavyotumia tukidhani ni maendeleo kumbe tunaharibu watoto
..toilet paper za kufutia watoto sema zipo softer kuloko za kawaidaNdo nini..?
Kaka huo uchambuzi wako ni scientifically driven ama umetoa tu opinions?Matumizi Ya wipes yameonekana trending na modest sana kana kwamba watu wamefumbia macho side Effects zake kwa watoto wetu.Most of them are made of damaging Ingredients ambazo zina Longtime effects kwa watoto mfano Cancer n.k
Siwezi kutaja specifically wipes na wipes ILA ukiwa unanunua angalia vilivyomo ukiona ivi ACHA!!
INGREDIENTS ZENYE MADHARA
1.METHYLISOTHIAZOLINONE
..Hii ni presevative(kitunzi) cha wipes ILI ziendelee kuwa na Unyevu,inasababisha ugonjwa wa dermatitis kwenye ngozi na Cancer,kifupi chake ni MI
2.IODOPROPYNYL BUTYCARBAMATE(IPCB)
..Na hii pia ni presevative na product Ya kumalizia utengenezaji wa mbao(special woods) na rangi(paint) ni allergen(husababisha allergy) na Pia skin Irritant(haipendwi na ngozi).
3.PARABENS MFANO(methylparaben,ethylparaben,butylparaben)
..Hii nayo ni presevative inasababisha cancer na kuadhiri mfumo wa Hormone(oestrogen).
4.TRICOLSLAN
..Inatumika kama Anti-bacterial,inaadhiri mfumo wa uzazi na kuharibu hormonal system infact imepigwa marufuku kwenye nchi kama Japan na Canada
5.SODIUM LAURYL SULFATE(SLS) NA SODIUM LAURETH SULFATE(SLES)
..Hii ni surfactant(nmekosa neno la kiswahili) inayotokana na nazi,inaadhiri Macho na Ngozi kwa Ujumla.
6.POLYETHYLENE GLYCEROL(PEG)
..Inavyonza unyevu-Unyevu kutoka kwenye Ngozi na kuadhiri viungo vya uzazi na hormone system kwa ujumla,huwa vinaanza na herufi PEG Alafu namba
7.PROPYLENE GLYCEROL
..Hii husababisha kuchubuka ngozi,na kusababisa kitu kinaitwa immunotoxity na pia inaadhiri mfumo wa kupumua
8.PHTHALATES
..Hii inatumika kama parfum kwenye wipes huadhiri sana watoto wa kiumi maana inaingilia na kuadhiri mfumo wa utengenezaji sperm
9.FORMALDEHYDE-Releasing chemicals
..Zinatokana na carcinogens ambazo usababisha cancer hizi huadhiri macho,ngozi na mapafu zikigusana na ngozi.
10.PETROCHEMICALS
..zote zinazoishia na "eth" mara nyingi hutokana na Oils na natural Gases ivyo huadhiri ngozi na husababisha cancer,tafuta wipes zenye label ya NO PETROCHEMICALS
Summary;Ukiona wipes Ina Paraben,PEG,Glycerol,Fragnance na Antibacterial ACHANA NAYO!!!!
TUMIENI MAJI AU LOCALLY MADE TOILET PAPERS AKINA MAMA!!
Akiogeshwa hakui?????[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]sema mtoto mchanga haogeshwi ovyoovyo ili akue ila wabongo kila saa ni kumpiga maji
Wee angalia and tell me where my mind diverts from Reality!!Kaka huo uchambuzi wako ni scientifically driven ama umetoa tu opinions?
[emoji23] [emoji23]nimefutia sana hizo..
Mkuu hebu eleza vizuri hizo wipes zinatumika vipMatumizi Ya wipes yameonekana trending na modest sana kana kwamba watu wamefumbia macho side Effects zake kwa watoto wetu.Most of them are made of damaging Ingredients ambazo zina Longtime effects kwa watoto mfano Cancer n.k
Siwezi kutaja specifically wipes na wipes ILA ukiwa unanunua angalia vilivyomo ukiona ivi ACHA!!
INGREDIENTS ZENYE MADHARA
1.METHYLISOTHIAZOLINONE
..Hii ni presevative(kitunzi) cha wipes ILI ziendelee kuwa na Unyevu,inasababisha ugonjwa wa dermatitis kwenye ngozi na Cancer,kifupi chake ni MI
2.IODOPROPYNYL BUTYCARBAMATE(IPCB)
..Na hii pia ni presevative na product Ya kumalizia utengenezaji wa mbao(special woods) na rangi(paint) ni allergen(husababisha allergy) na Pia skin Irritant(haipendwi na ngozi).
3.PARABENS MFANO(methylparaben,ethylparaben,butylparaben)
..Hii nayo ni presevative inasababisha cancer na kuadhiri mfumo wa Hormone(oestrogen).
4.TRICOLSLAN
..Inatumika kama Anti-bacterial,inaadhiri mfumo wa uzazi na kuharibu hormonal system infact imepigwa marufuku kwenye nchi kama Japan na Canada
5.SODIUM LAURYL SULFATE(SLS) NA SODIUM LAURETH SULFATE(SLES)
..Hii ni surfactant(nmekosa neno la kiswahili) inayotokana na nazi,inaadhiri Macho na Ngozi kwa Ujumla.
6.POLYETHYLENE GLYCEROL(PEG)
..Inavyonza unyevu-Unyevu kutoka kwenye Ngozi na kuadhiri viungo vya uzazi na hormone system kwa ujumla,huwa vinaanza na herufi PEG Alafu namba
7.PROPYLENE GLYCEROL
..Hii husababisha kuchubuka ngozi,na kusababisa kitu kinaitwa immunotoxity na pia inaadhiri mfumo wa kupumua
8.PHTHALATES
..Hii inatumika kama parfum kwenye wipes huadhiri sana watoto wa kiumi maana inaingilia na kuadhiri mfumo wa utengenezaji sperm
9.FORMALDEHYDE-Releasing chemicals
..Zinatokana na carcinogens ambazo usababisha cancer hizi huadhiri macho,ngozi na mapafu zikigusana na ngozi.
10.PETROCHEMICALS
..zote zinazoishia na "eth" mara nyingi hutokana na Oils na natural Gases ivyo huadhiri ngozi na husababisha cancer,tafuta wipes zenye label ya NO PETROCHEMICALS
Summary;Ukiona wipes Ina Paraben,PEG,Glycerol,Fragnance na Antibacterial ACHANA NAYO!!!!
TUMIENI MAJI AU LOCALLY MADE TOILET PAPERS AKINA MAMA!!
..Hamna wipes ni za Kutawadha MkuuMkuu hebu eleza vizuri hizo wipes zinatumika vip
Au ndo mmbadala wa pampas
Sante Mkuu. Ushamba nao dah!..Hamna wipes ni za Kutawadha Mkuu
[emoji1] [emoji1]Sante Mkuu. Ushamba nao dah!