Wireless earphones zenye bass: anayejua zilipo dar.

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Jf tech huwa napata suluhisho. Watu wanajua.
Kwa dar naomba kujua napata wap wireless earphones zenye bass na mchujo mzuri kama au zaidi ya wired earphones.
Najua maduka yamejaa hizo lakin tatizo ni bass kuipata vyema.
pia napenda brands kubwa kama sony, bose, beats etc.
Muundo huo
 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    12.9 KB · Views: 11
Hela yeyote unatoa au unataka tight bass kwa buku 20?
 
Mkuu Extro..kuna zangu za 100k sijui nilipigwa ni mpaka ushikilie sikio usikie dundo..aiseee..maoni hapo tafadhali.
TZ ni kama anayetuletea bidhaa ni mmoja toka nje. Mana unakuta kariakoo bidhaa nyingi, majina mengi lakin ubora hasi ule ule!
Ndo tunarudi humu kuulizana wapi store ya mleta ubora tarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…