bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Oraimo,JBL hautojuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JBL upate oG zake lakini maana JBL copy ni nyingi mnooOraimo,JBL hautojuta
Tsh ngapi hizo ?Pata hizi. View attachment 2835920View attachment 2835923
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Haujataja BeiPata hizi. View attachment 2835920View attachment 2835923
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Mara nyingi nachukua bidhaa eBay or Amazon natulia natumia virtual cards za mobile provider naweka mzigo wangu nasubiria products hasa hizi za matumizi binafsi kwakua kkoo wengi wanatoa china/dubai na ni feki most of the timeTZ ni kama anayetuletea bidhaa ni mmoja toka nje. Mana unakuta kariakoo bidhaa nyingi, majina mengi lakin ubora hasi ule ule!
Ndo tunarudi humu kuulizana wapi store ya mleta ubora tarajiwa.
Unazo za bass nzuri toka brand zinazokubalika uniuzie?Mara nyingi nachukua bidhaa eBay or Amazon natulia natumia virtual cards za mobile provider naweka mzigo wangu nasubiria products hasa hizi za matumizi binafsi kwakua kkoo wengi wanatoa china/dubai na ni feki most of the time
Anataka kuumiza ngoma za sikiio alafu baadae aanze kuulizia daktari mzuri wa kutibu masikio anapatikana wzpi!Hela yeyote unatoa au unataka tight bass kwa buku 20?
Hata apple AirPods zao ni nzuri sn bei zipo Sawa almost na JBLKama unataka za kipato cha kati nunua Oraimo, hutojutia kamwe...ni Ngumu Mno na zinakaa na chaji zaidi ya masaa 35+ na hata ukipigiwa simu mic yake ni HD call.
Ni water Proof, na Bass yake ni nzito sana wana App yao play store ambayo ukitaka unaweza kuitumia kwa ajili ya ku Equalise sauti vile unavyotaka...
Bei ya chini kabisa ni 35k na bei ya juu kabisa inafika 165k
Kwa ubora nazipa nyota nne★★★★
Kama una kipato kizuri nunua JBL Og ya Bei ya chini kabisa inaanzia 200k na ya bei ya juu kabisa inafika mpaka 750k kwa JBL wala hamna haja ya kuielezea sana ila kwa wale wanaojua JBL wakoje linapokuja suala la Sound, Durability, na Quality siyo mchezo JBL ni next level....
JBL ni nyota ★★★★★
Naam, hizi sasa ndio JBL OG, bei inajieleza.Pata hizi. View attachment 2835920View attachment 2835923
Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja mkuu,bora kuagiza tu. Kuna baadhi ya Brand kw hapa Bongo kupata OG ni mtihani sanaa.Mara nyingi nachukua bidhaa eBay or Amazon natulia natumia virtual cards za mobile provider naweka mzigo wangu nasubiria products hasa hizi za matumizi binafsi kwakua kkoo wengi wanatoa china/dubai na ni feki most of the time
Baadhi zinakuwa nao kwenye mabox yake na nyingine ndio hivyo tena mwendo wa kubahatisha. Ila njia nyingine ya kuepuka bidhaa fake ni kutokimbilia sana majina makubwa. Mfano wireless phones za Apple, JBL, Boose nyingi utazijua tu upande wa bei, sababu OG zinakuwa na bei kali sanaa, sasa ukiona inauzwa bei ya kutupa halafu ni mpya full boxed lazima ujiulize mara mbili mbili🤣Hapo kwenye kujua og. Hv hizi bidhaa hazina mfumo wa kusoma barcode kujua og?
JBL ni habari nyingineKama unataka za kipato cha kati nunua Oraimo, hutojutia kamwe...ni Ngumu Mno na zinakaa na chaji zaidi ya masaa 35+ na hata ukipigiwa simu mic yake ni HD call.