Wise Quotes by Mwalimu Nyerere: And not so Wise by Others...

Kufikia wakati huu wa hali ngumu ya kiuchumi sikutegemea kuona watu wenye akili za mgando kama ww!!!wake my friend its no longer night yakhe
 

Nazidi kuamini kuwa upumbavu ni boonge la kipaji.....
 
"Ukifanya fujo umeambiwa usifanye hiki ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu maana hakuna namna nyingine....na mimi nasema muwapige tu kwa sababu hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa"-M.K.P. Pinda, june 2013.
 

Si ndo maana sasa ukimya umemjaa mwingi hata pale mabomu yanapowauwa wananchia anaogopa kuongelea kwani anajua dhahiri ataweka ushabiki mbele
 

Ndo maana wakati anatoka madarakani akasema myafuate yale mazuri aliyoyafanya na muyaache yale mabaya ila badala yake mnayachukua yale mabaya na kuyaacha yale mazuri
 
Kweli hatutakuja kukusahau milele Mwalimu J. K. Nyerere kwa hekima na busara zake na zaidi uzalendo wake ambao kwa sasa ni hakuna tena umetoweka kabisa
 
Nyerere: "waswahili wana mambo ya ajabu. mambo ya kijinga jinga yakisemwa kwa kiingereza, wanashangilia kana kwamba ni mambo mema"
 
Hizo quotes za JK ukizichukua ukaziweka kwenye kaburi la Nyerere,lazima lititie!!!
 

Ni heri ukakosa mali lakini ukawa na akili.....!!!!!
 
Ikulu mahali patakatifu sio pango la walanguzi
"Vox popoli vox dei"
 
Kivuli chake kipo na kitaendelea kuwepo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tunamuenzi vp mzee wetu kwa nyimbo na sherehe badala ya kulinda na kuendeleza aliyoasisi?
VoiceOfReason.mkuu usipotee hivi mchango wako unatakiwa
 
Last edited by a moderator:
"Hata kama mawazo ya mtu huyu hayapendwi kiasi gani, au walio wengi wanamdhania amepotoka kiasi gani, si kitu… Watu wenye mawazo tofauti, hata wakiwa wachache lazima wawe na haki ya kutoa mawazo yao katika majadiliano bila ya hofu ya kusumbuliwa; mawazo yao na yashindwe katika hoja za majadiliano,siyo kwa vitisho na mabavu." Julius Nyerere - Uhuru na Maendeleo .
 
Alishindwa ku Practice hayo maneno wakati wa Utawala wake, Wanafunzi kama Dkt Kabour,Christopher Mtikila, Samwel sitta, wanasiasa kama Kasanga tumbo,Titi Mohamed, Oscar Kambona, john Kaselabantu, walipata cha mtemakuni kwa kuwa na mawazo tofauti na Nyerere!
 
mwalimu alikuwa binadamu, anamazuri yake na anamabaya aliyoyafanya. Kwahiyo sasa katika kumuenzi tuchukue yale mazuri tu na tuyafanyie kazi
 
hivi wapi wanauza vitabu na cd zake za hotuba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…