Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hakuna tatizo kuwa na positive mental attitude. Kinachogomba ni kile kinachosemwa kuwa hiki ni positive mental attitude
Okay, good. I got it now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo kuwa na positive mental attitude. Kinachogomba ni kile kinachosemwa kuwa hiki ni positive mental attitude
basi naibaki kuwa uamuzi wako na si wa wengine... maana kuridhika ni jambo binafsiKuridhika ni uamuzi wa mtu. Mimi kama nimeridhika na hali na mali zangu wewe tatizo lako nini?
basi naibaki kuwa uamuzi wako na si wa wengine... maana kuridhika ni jambo binafsi
Na mara nyingi hivyo ni ndivyo ilivyo. Ambaye hajaridhika hutafuta zaidi na ambaye karidhika hufurahia alichonancho.
kw ahivyo ni sahihi kusema kuwa chanya kunategemea mtu na mtu? maana hatuwezi kuambiana mtazamo chanya ni kadhaa wa kadhaa...
Ushauri bogus kabisa. Badala ya kuambiana tufanye mabadiliko ya kimaendeleo to better maisha yetu, tunaambizana tubweteke kwa kuwa tu kuna wengine wenye hali ngumu zaidi.
Maendeleo binafsi na ya nchi hayaji kamwe kwa kupeana ushauri wa aina hii
Ningekuwa Rais ningefuta huu upuuzi. Eti hufundishwa kuwa wa yes yes tu, loo. Eti hata simu yake usiguse kujipatia mapresha ya bure. Hivi mwanaume anaachiwa Uhuru kiasi hicho?hasa huko kwenye kitchen parties ndio balaa, unafundishwa kuwa mnyenyekevu na mvumilivu assumption ikiwa mambo yapo sawa na yanafanana kwa couples zote. Sijawahi ona mwanamke anafundishwa alternatives za kudeal na abusive husband... ikitokea kawa hivyo. Majukumu ya kuhuisha ndoa 'for bad for worse' wamejitwika wanawake wenyewe... na wanaume wakajua loop hole hiyo na kuitumia barabara.
mimi penda hii. Kwanini tujilinganishe na waliopo chini. Au ndio yale mambo ya aliye juu mngoje chini!
Ningekuwa Rais ningefuta huu upuuzi. Eti hufundishwa kuwa wa yes yes tu, loo. Eti hata simu yake usiguse kujipatia mapresha ya bure. Hivi mwanaume anaachiwa Uhuru kiasi hicho?
bht
Hapa kuna waloshukuru kwa hizi advice na kuna waloziona hizi advice ni kandamizi
Kwa hiyo naamini mtizamo wenyewe hasa ndio unaoweza kujadiliwa
mimi penda hii. Kwanini tujilinganishe na waliopo chini. Au ndio yale mambo ya aliye juu mngoje chini!
wakati unamngoja chini, wenzio wanampandilia huko huko na pia usitegemee kuna siku atashuka tu ili aje akutane na wewe hapo...
Gaijin, bandiko langu la kwanza ndo nikauliza kuwa na huu mtazamo chanya ndo kwamba niridhike na nilipo? is that what people call positive attitude?
Panda ukale raha huko huko juu, ukianguka ushaonja japo kidogo
Gaijin, bandiko langu la kwanza ndo nikauliza kuwa na huu mtazamo chanya ndo kwamba niridhike na nilipo? is that what people call positive attitude?
Hiyo ya simu mbona kuna wadada kibao ndo wako mstari wa mbele kusema zao zisiguswe....
Positive mental attitude is subjective. What is positive to one may be foolish to another.
Case in point, the marriage of Bill and Hilary Clinton. Only god knows how many times Bill cheated on Hilary. But she chose to stand by her man, nevertheless.
Now some say she is/was stupid for doing that. But some see it the other way. That she chose to stick around and make her marriage work. She looked on the positive side of things (that hopefully one day Bill will stop his cheating ways).
Now you decide, was she being positive in choosing not to divorce her husband or was she stupid?
Hiyo ya simu mbona kuna wadada kibao ndo wako mstari wa mbele kusema zao zisiguswe....