Wise-up!

Kuridhika ni uamuzi wa mtu. Mimi kama nimeridhika na hali na mali zangu wewe tatizo lako nini?
basi naibaki kuwa uamuzi wako na si wa wengine... maana kuridhika ni jambo binafsi
 
basi naibaki kuwa uamuzi wako na si wa wengine... maana kuridhika ni jambo binafsi

Na mara nyingi hivyo ni ndivyo ilivyo. Ambaye hajaridhika hutafuta zaidi na ambaye karidhika hufurahia alichonancho.
 
Na mara nyingi hivyo ni ndivyo ilivyo. Ambaye hajaridhika hutafuta zaidi na ambaye karidhika hufurahia alichonancho.

kw ahivyo ni sahihi kusema kuwa chanya kunategemea mtu na mtu? maana hatuwezi kuambiana mtazamo chanya ni kadhaa wa kadhaa...
 
bht

Hapa kuna waloshukuru kwa hizi advice na kuna waloziona hizi advice ni kandamizi

Kwa hiyo naamini mtizamo wenyewe hasa ndio unaoweza kujadiliwa
 
Ushauri bogus kabisa. Badala ya kuambiana tufanye mabadiliko ya kimaendeleo to better maisha yetu, tunaambizana tubweteke kwa kuwa tu kuna wengine wenye hali ngumu zaidi.

Maendeleo binafsi na ya nchi hayaji kamwe kwa kupeana ushauri wa aina hii

mimi penda hii. Kwanini tujilinganishe na waliopo chini. Au ndio yale mambo ya aliye juu mngoje chini!
 
Ningekuwa Rais ningefuta huu upuuzi. Eti hufundishwa kuwa wa yes yes tu, loo. Eti hata simu yake usiguse kujipatia mapresha ya bure. Hivi mwanaume anaachiwa Uhuru kiasi hicho?
 
mimi penda hii. Kwanini tujilinganishe na waliopo chini. Au ndio yale mambo ya aliye juu mngoje chini!

wakati unamngoja chini, wenzio wanampandilia huko huko na pia usitegemee kuna siku atashuka tu ili aje akutane na wewe hapo...
 
Ningekuwa Rais ningefuta huu upuuzi. Eti hufundishwa kuwa wa yes yes tu, loo. Eti hata simu yake usiguse kujipatia mapresha ya bure. Hivi mwanaume anaachiwa Uhuru kiasi hicho?

Hiyo ya simu mbona kuna wadada kibao ndo wako mstari wa mbele kusema zao zisiguswe....
 
bht

Hapa kuna waloshukuru kwa hizi advice na kuna waloziona hizi advice ni kandamizi

Kwa hiyo naamini mtizamo wenyewe hasa ndio unaoweza kujadiliwa

Gaijin, bandiko langu la kwanza ndo nikauliza kuwa na huu mtazamo chanya ndo kwamba niridhike na nilipo kwa kuwa tu kuna wengine hawana hata hicho nilichonacho mimi? is that what people call positive attitude?
 
mimi penda hii. Kwanini tujilinganishe na waliopo chini. Au ndio yale mambo ya aliye juu mngoje chini!

Hahaha kwa hiyo ukae chini kwenye dhiki kwa kusubiri mwenye raha aanguke mfaidi dhiki pamoja eee!

Panda ukale raha huko huko juu, ukianguka ushaonja japo kidogo
 
wakati unamngoja chini, wenzio wanampandilia huko huko na pia usitegemee kuna siku atashuka tu ili aje akutane na wewe hapo...

si ndio hapo! Mi staki habari za kungojana chini. Yaani nipige mlo mmoja kwa siku halafu nifurahi kisa kuna ambao hawajala kabisa!! Mambo kama haya ndio maana watu wanajibweteka. Mtu akishakuwa na visenti kidoncho akiangalia wa pembeni wamechoka basi anajiona maisha kashayapatia.
 
Gaijin, bandiko langu la kwanza ndo nikauliza kuwa na huu mtazamo chanya ndo kwamba niridhike na nilipo? is that what people call positive attitude?

Kwa muktadha wa leo, ndio eee
 
Panda ukale raha huko huko juu, ukianguka ushaonja japo kidogo

kweli bana, bora upande ukabanane nae huko huko kuliko kuishia kumwombea ashuke. Kwanza hata akishuka hana msaada.
 
Being positive and settling for less are two different things. And this, is about settling for less kwasababu tu hiyo 'less' ni zaidi kwa wengine.
 
Gaijin, bandiko langu la kwanza ndo nikauliza kuwa na huu mtazamo chanya ndo kwamba niridhike na nilipo? is that what people call positive attitude?

Positive mental attitude is subjective. What is positive to one may be foolishness to another.

Case in point, the marriage of Bill and Hilary Clinton. Only god knows how many times Bill cheated on Hilary. But she chose to stand by her man, nevertheless.

Now some say she is/was stupid for doing that. But some see it the other way. That she chose to stick around and make her marriage work. She looked on the positive side of things (that hopefully one day Bill will stop his cheating ways).

Now you decide, was she being positive in choosing not to divorce her husband or was she stupid?
 
Hiyo ya simu mbona kuna wadada kibao ndo wako mstari wa mbele kusema zao zisiguswe....

ooh yeah, tena umenikumbush amjadala mmoja humu wadada walikuwa mstari wa mbele kama fundo la msuli kutetea hii ya kila mtu na simu yake...
 
I hope hakufanya hivyo kwa kuwa tu kuna wanawake kibao huko nje walikuwa wanmtolea mimacho mumewe kwa hivyo akimwacha tu anadakwa... sijui unanielewa/naeleweka?
 
Hiyo ya simu mbona kuna wadada kibao ndo wako mstari wa mbele kusema zao zisiguswe....

Ukiona Mkeo au gf wako anakukatazia simu ujue ni great cheater. Kama nyie ni mwili mmoja everything will be on one boat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…