Wishing you a Speedy Recovery Asprin

Wishing you a Speedy Recovery Asprin

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
16,947
Reaction score
8,419
Passing time in bed is awful yet necessary this time, so that you can go back to yourself stronger than ever before.

Get Well Soon.
 
Heee! Inabidi tufunge na kuomba pepo la magonjwa litoke. Ankal kaizer nae hayupo fresh kiafya. Tunawaombe wote mpone.
 
Kweli Da Husn hata mi nlifkiri hayo2, naona twaumwa 2.
Pole Babu, wish ushapata dawa.
 
Heee! Inabidi tufunge na kuomba pepo la magonjwa litoke. Ankal kaizer nae hayupo fresh kiafya. Tunawaombe wote mpone.
Kweli kabisa swahiba, mie nimeanza maombi spesho toka jana...hebu na tufanye hivyo kwa moyo mmoja. Mwaka umeanza vibaya kwa wana MMU. Tunawaombea wote.
 
Babu pole sana
mwenyezi Mungu akujalie uponaji mwema na kukurejesha katika majukumu yako
Pole sana mkuu
 
Passing time in bed is awful yet necessary this time, so that you can go back to yourself stronger than ever before.

Get Well Soon.

Heee! Inabidi tufunge na kuomba pepo la magonjwa litoke. Ankal kaizer nae hayupo fresh kiafya. Tunawaombe wote mpone.

Aspirin and Kaizer, we miss you. Get well soon...

get well soon.gif
 
Passing time in bed is awful yet necessary this time, so that you can go back to yourself stronger than ever before.

Get Well Soon.

Babu pole na tunakuombea kwa Mungu upate afya njema haraka!
 
Aspirin, let it not skip your mind even for a second that you are badly needed here each second. Therefore, get well soon and once you get out of bed, please log on haraka
 
Back
Top Bottom