Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol, kwamba na wewe utaugua au?...hizo ni salamu za utangulizi, zikija zingine na wewe hutakosekana..
Nimefurahi kukuona tena humu. Karibu. Hatutaacha kuomba dua...Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.
Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.
Ashukuriwe mungu kwa babu kupata nafuu,Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.
Guys.... Am humbled (source: Ashadii). Ahsanteni kwa mpigo. Nikipata nguvu ntakuja kuwashukuruni mazima na kuwagongeeni malikes. Ahsanteni kwa wema, maombi, dua na sala zenu. (source: mama matesha a.k.a sekretare wa kujitolea wa ODM wenu). NB. Msiache kupiga sala, mwaka umeanza vibaya eti.
Ahsante sana babu, bado upo kwenye maombi yetu, we are happy vile umekuja kuchungulia na kututia moyo, mungu na azidi kukubariki na kukupa nguvu zaidi!Wapendwa ahsanteni kwa wishes zenu. Mungu yu Mwema sana. Naamini, soon and very soon tutakuwa sote hapa. Ahsanteni kwa wema, ukarimu na upendo wenu kwangu. Mungu awabariki kwa kadri atakavyoona inafaa. And I'll be back for the needful (kale kachakula ketu LIKE lol). Ngoja niendelee kupumzika kidogo. Love you all.
Wapendwa ahsanteni kwa wishes zenu. Mungu yu Mwema sana. Naamini, soon and very soon tutakuwa sote hapa. Ahsanteni kwa wema, ukarimu na upendo wenu kwangu. Mungu awabariki kwa kadri atakavyoona inafaa. And I'll be back for the needful (kale kachakula ketu LIKE lol). Ngoja niendelee kupumzika kidogo. Love you all.