Wishing you a Speedy Recovery Asprin

hivi ni asprin au ni mbu? Lol. Mwambie babu tunamwombea apone haraka. Tumemiss uchizi wake.

Da Huu! Mbu yu mzima wa afya yuko study room bado anapanga 2012 resolutions!

Babu anaendelea vema baaada ya kupata pole zenu.
Narudi chumbani kumuuguza Babu
 
Da Huu! Mbu yu mzima wa afya yuko study room bado anapanga 2012 resolutions!

Babu anaendelea vema baaada ya kupata pole zenu.
Narudi chumbani kumuuguza Babu
Angalia hapo kwenye friji kuna juice niliiweka ipoe, mpe anywe!
 
hivi ni asprin au ni mbu? Lol. Mwambie babu tunamwombea apone haraka. Tumemiss uchizi wake.

...lol.....wewe Husninyo wewe...!

Da Huu! Mbu yu mzima wa afya yuko study room bado anapanga 2012 resolutions!

Babu anaendelea vema baaada ya kupata pole zenu.
Narudi chumbani kumuuguza Babu

...salaaale, mbona nilishaweka bayana resolution za 2012? ...kudumisha ndoa na kuwasamehe waliotufundisha machungu ya mapenzi.

ASPIRIN, Pole sana kamanda...mitihani tumeumbiwa binaadamu...na ukitathmini sana, mitihani tunajaaliwa sie twenye imani thabiti...😉

kumbuka job (Ayubu) alivyojaribiwa na shetani na akaweza kuyashinda majaribu yote sababu ya uvumilivu na kusubiri.

Sala, dua na maombi yangu kwa mwenyezi mungu akuvushe kwenye mitihani hii kamanda.
Tupo pamoja.
 
...lol.....wewe Husninyo wewe...!

, mj alisema anampa kikombe cha uji mgonjwa nikahisi nimesoma vibaya ni mbu na sio asprin. Lol.
Tunashukuru upo mzima.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…