Pole sana Babu.
Nadhani sasa utakua unaamini kwamba "Mbu" ni wabaya sana.
Nakushauri kwa sasa ukae kwenye "Rocky",na ukimuona "Mpita Njia" mwambie akupatie
"Klorokwin" utumie kwani "Asprin" haifanyi kazi tena.
Lakini kwa afya imara,kama uko karibu na any lady,be it a "wiselady" or a "sweetlady"
waambie wakuandalie "Kongosho" kwani ita kuongezea nguvu mwilini.
Mimi sio "Mtambuzi",..ila naamini kwamba ukiwa na "The finest" "smile" lazima uta imarisha
afya yako mapema sana.
Mwambie yule "daughter" wako akiandalie nguvu safi na sio "madabwada",hii itakusaidia ku-recover mapema.
Ukiwa unapumzika hapo nyumbani/hospitalini,...itakua vyema sana ukipata mtu wa kukuletea
"Lily Flower",zina harufu nzuri sana ila nasikia ni dawa pia.
Naomba tu,usije kuwa una "Malaria sugu",...maana hua ni mbaya sana ila sio zaidi ya "mbu".
Sisi "Tuko" huku kwenye "Dark city" twaendelea na ujenzi wa Taifa la kufikirika.
Get well soon.