PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Source #1
View Source #1
Waitara analia. Magufuli hayupo

Wajumbe wamemla kichwa tayari











Screenshot_20250712-120156.jpg
 
Tunachokijua
Mwita Waitara ni mwanasiasa kutokea nchini Tanzania. Kwa sasa Waitara ni mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CCM, awali amewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ukonga mwaka 2015 kupitia tiketi ya CHADEMA.

Madai

Julai 12, 2025 kumeibuka kipande cha video kikimuonesha mbunge wa Tarime vijijini anayemaliza muda wake, Mwita Waitara aikimwaga machozi mbele ya waandishi wa habari na kuelezwa kuwa tukio hilo linakuja mara baada ya yeye kukatwa jina na wajumbe.

Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache tangu mchakato wa kutafuta wagombea wa ubunge, udiwani na baraza la wawakilishi kwa chama cha mapinduzi kuzinduliwa rasmi.

Uhalisia wa Taarifa hiyo

JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa kipande hicho si cha hivi karibuni.

Kipande cha video kinachomuonesha Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini akilia si ya mwaka 2025 na haihusiani na mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2025.

Kipande hicho cha video ni kutoka katika sehemu ya hotuba aliyoitoa Waitara Machi 28, 2023 alipokuwa akizungumzia adha ya migogoro ya mipaka Jimboni mwake.

Aidha kwa mujibu wa ratiba ya CCM katika mchakato huo bado unaendelea katika ngazi mbalimbali.
Aache kulia lia hizo hela alizokusanya kwa kipindi chote cha kulamba asali akajiajiri.......afadhali yeye hata ana mtaji wa kuanzia maisha mtaani.....vijana wanatoka vyuoni watupu wanapambana mtaani.....
vyuo vya siku hizi vina vilaza watupu. Mwanafumzi wa chuo kikuu unakuwa chawa?

shithole country
 
View attachment 3402944
Wajumbe washafanya Yao. Pole sana Mheshimiwa. There is always a next time
Analia nini sasa, hivi vyeo vyote alivyopitia CDM na CCM Hadi kuwa naibu Waziri hakuwekeza chochote?

Kama aliwekeza kwa Malaya na mipombe aje kitaa tujiajiri kama wanavyotushauri wakiwa kwenye masofa mekundu bungeni,
 
Demokrasia gani iliyofanyika hapo??
 
Back
Top Bottom