PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Analia nini sasa, hivi vyeo vyote alivyopitia CDM na CCM Hadi kuwa naibu Waziri hakuwekeza chochote?

Kama aliwekeza kwa Malaya na mipombe aje kitaa tujiajiri kama wanavyotushauri wakiwa kwenye masofa mekundu bungeni,
Mshaurini aende VETA au.... lakini sio kumkandya kivile. Mwacheni akomae na hali yake.
 
Acheni propaganda, japokuwa natamani ingekuwa ni clipu ya sasa hivi ila hii ni ya zamani
 
Dah mjita Gani analia hivi kila mara yeye ni kilio tu ...kama nawaona wazee wakijita wanavyomuangalia kwa hasira Kali
 
Mshaurini aende VETA au.... lakini sio kumkandya kivile. Mwacheni akomae na hali yake.
Sio kumkandya mkuu, hivi vyeo ni vya kupita, mwanamme unamwaga chozi kisa kukosa ubunge?
Inaweza kuwa alivuta bangi kabla ya kushusha kilio,
 
View attachment 3402944
Wajumbe washafanya Yao. Pole sana Mheshimiwa. There is always a next time
Hii sio ya leo mkuu ,ila all in all , binadamu tunahitaji uvumilivu wa kesho yetu ili iwe nzuri, Waitara akiwa chadema ,anger cha tamaa leo Taifa lingekua linamjadili kama mtu ambaye anaweza kuwa Mkubwa sana katika Taifa hili, mfano Heche ,lissu ,lema , Pambalu n.k .

Tamaa sio nzuri , unaweza furahia matunda ya Mda tu ,huku umealibu future, na ushawishi wako katika jamii bila kujua, na wananchi watakukataa.

Lissu, Heche na wengine wapo na support ya chama ,wananchi , kwa sababu wanasimamia nini wananchi ndo kipaumbele chao.

Hawa kesho if they can compromise, ni belioner, ila unajiuliza ni nani bilionia Dunia hii alikufa na kujengewa sanam la ukumbusho ambae hakuwai gusa maisha ya mtu mmoja mmoja
 
Sio kumkandya mkuu, hivi vyeo ni vya kupita, mwanamme unamwaga chozi kisa kukosa ubunge?
Inaweza kuwa alivuta bangi kabla ya kushusha kilio,
Weee; mwamba alikuwa anaigiza kuvuta au kuamsha hisia za watazamaji wamwonee huruma. Lakini pia nakubaliana na hoja yako "Inaweza kuwa alivuta bangi kabla ya kushusha kilio", kwani kwa kitendo hicho badala ya kuonewa huruma amejidhalilisha.
 
Unapojitoa akili yako na ufahamu wako kwa ajili ya kumsifia mwanamke halafu mwisho wa siku unakatwa pumbavu kabisa,hapo anajutia zambi zake usaliti mbaya sana
 
View attachment 3402944
Wajumbe washafanya Yao. Pole sana Mheshimiwa. There is always a next time
Hii sio ya leo mkuu ,ila all in all , binadamu tunahitaji uvumilivu wa kesho yetu ili iwe nzuri, Waitara akiwa chadema ,anger cha tamaa leo Taifa lingekua linamjadili kama mtu ambaye anaweza kuwa Mkubwa sana katika Taifa hili, mfano Heche ,lissu ,lema , Pambalu n.k .

Tamaa sio nzuri , unaweza furahia matunda ya Mda tu ,huku umealibu future, na ushawishi wako katika jamii bila kujua, na wananchi watakukataa.

Lissu, Heche na wengine wapo na support ya chama ,wananchi , kwa sababu wanasimamia nini wananchi ndo kipaumbele chao.

Hawa kesho if they can compromise, ni belioner, ila unajiuliza ni nani bilionia Dunia hii alikufa na kujengewa sanam la ukumbusho ambae hakuwai gusa maisha ya mtu mmoja mmoja katika jamii yake inayomzunguka?

Tamaa za leo katika maisha yetu sio Muhimu ila hata ukafa maskini , kama jamii yako umeitendea haki ni Muhimu sana history itakuandika tu , mfano tu ,Mwl Nyerere
 
Hii ni video clip ya zamani na sio eti ni mpya vaada ya kukatwa
 
nipe mrejesho, matokeo bado? maana nyinyi uchawa umewapofusha kuona ukweli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…