PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Weee; mwamba alikuwa anaigiza kuvuta au kuamsha hisia za watazamaji wamwonee huruma. Lakini pia nakubaliana na hoja yako "Inaweza kuwa alivuta bangi kabla ya kushusha kilio", kwani kwa kitendo hicho badala ya kuonewa huruma amejidhalilisha.
Amejidhalisha sana, hivi kama familia yake Wanamwona Mzee wao anamwaga michozi namna Ile.
 
Unaruhusuje kitu kama hichi mbele ya kamera? Una mke, watoto, watu wanaokuheshimu halafu unaruhusu kulia kipuuzi mbele ya kamera?
 
Huyu ni shoga wa kikurya,hakuna mwanamume anayeweza kulia kijinga hivi tofauti na kufiwa na ampendaye.

Ile ripoti ya siku ile ilinishangaza sana kusikia wakurya nao wameanza kuwa mashoga,yaweza kuwa huyu ndo mwanzilishi wa huu uchafu huko Mara
Mkuu, huyu ''ana akili'' kuliko watanzania wengi. Unadhani analia kutoka moyoni? Kwa nijuavyo wanaume wengi wa kiafrika, ni watu tunaojifanya tuna roho ngumu za kupambana na matatizo na huwa hatulii hovyo. Sasa huyu kulia huku anajirekodi ni mkakati maalum. Ni mkakati wa kufanya ''walio juu'' wamwonee huruma ili angalau wampe chochote.
 
Mamluki na mercenaries wote ndani ya CCM kutokea Chadema na kwengineko- Waliwe tu hivyo vichwa. Itapendeza sana... Hawakujitambua, hawajitambui na ni opportunist full masinonda. Asante wajumbe kwa kufanya mambo yaliyo mema... muwale tu vuchwa hadi wajitambue. sio kuja kuwa kauzibe humo chamani kwenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…