Lugovoy
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 592
- 192
Mmmh [emoji56][emoji56][emoji56]Namba 3 hapo ndo naisiburi.
Wanaume nyie ni pasua kichwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh [emoji56][emoji56][emoji56]Namba 3 hapo ndo naisiburi.
Wanaume nyie ni pasua kichwa sana.
Kabisaaaa kakaVery painful
There is always room for improvement. Kama halikufanikiwa sio jambo la kukata tamaa, labda ni kuwaomba tu walifikirie tena hilo jambo ili wanapofanya tena updates waangalie uwezekanoVery painful
Hii si muvi mkuuMzee baba Mshana kuna jamaa humu niliona uzi wake...alihitaji kujua kuhusiana na kitu kinachoitwa "Ouija board" ...
Mkuu bado tu? Naona muda unazidi kwenda na sie tunasubiri hilo jukwaa na hizo mada.Tunasubiria maboresho huku tunaendelea kuchabanga
Mkuu siuanze kuweka vitu kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko au hili hili la jamii intelligence mpaka hapo wakubwa hawa watakapotukumbuka, ni ushauri tu mkubwa ukiona unafaa unaweza kuufanyia kazi kwasababu tumeendelea kusubiri kwa muda mrefu sasa bila mafanikio yoyote.Tuzidi kuvuta subra watatukumbuka
Sawa sawaMkuu siuanze kuweka vitu kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko au hili hili la jamii intelligence mpaka hapo wakubwa hawa watakapotukumbuka, ni ushauri tu mkubwa ukiona unafaa unaweza kuufanyia kazi kwasababu tumeendelea kusubiri kwa muda mrefu sasa bila mafanikio yoyote.