With $11bn Bagamoyo port, Tanzania prepares to take on EA hub Mombasa

hiyo ya mtwara kusafirisha nini bandari ya ukubwa huo? sio kweli kwamba wote tunauwezo wa kufanya planning, kama bandari inajengwa na hakuna wizi tatizo liko wapi? kwanza bandari ya msaada tunaweza jenga mtwara kwa kodi yetu, wachina waliotoa pesa wamerishika na bagamoyo ,
Bandari ya mtwara inahitaji uwekeza mkubwa sana kwenye miundombinu mingine kama barabara na reli lakini pia ukanda huo hauhitaji bandari ya ukubwa huo kwa sasa
 

kwa taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo 10bilion$ sio kwajili ya ujenzi wa bandari tu ni pamoja na
1.bandari ya b'moyo
2.kujenga reli kutoka bagamoyo kuunganisha na reli ya kati
3.reli ya kati kuongezwa kipande ch DRC.
4.Kuiunganisha b'moyo na reli ya tazara
5.kujengwa reli kipande cha kwenda mchuchumaa,
6.kujenga pipeline ya gesi kutoka mtwara kwenda kwa b'moyo,
7.scholarships za uchina kuongezwa
hizo ni baadhi ya project 17 kwenye huo mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…