With Love and Respect from the bottom of my heart Jamii Forums inajulikana kijijini kwetu

With Love and Respect from the bottom of my heart Jamii Forums inajulikana kijijini kwetu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nawasalimuni wote, niko kijijini kwetu,
watu ni wakarimu, wenye upendo na wadadisi mno.
Amini usiamini JAMII FORUMS inafahamika hadi huku.
Wenyewe wanasema JF ni mtandao wa Kikwete unaotumika kuwamulika maadui zake ambao hawako kwenye mtandao.
Wanaendelea kusema Kikwete kamsimamisha kazi Jairo baada ya Kikwete kukaa kwenye Jamii Forum yake na kuona kuna haja ya Jairo kuchunguzwa na bunge.
Hao ndio wanakiji wa kijiji chetu wanavyo ielewa JF.
Nimejaribu kuwaelimisha naonekana mpotoshaji tena mbaya zaidi wameniona gaidi.
Nawatakieni weekend njema.
 
Eneza neno Bujibuji..
Kaza buti..
(Angalia usilengwe na lapa lakini )
weekend njema
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
hahah hahahha hahhhaa Afrodenzi nakukaribisha ujena lile kamera lako ukamate matukio.

Dahhhh
Sante Bujibuji kwa mwaliko
Ngoja nienda kwa baba Shabanii
Kuazima bajaji... hizo picha za mwaka
Staki kuzikosa kabisa... Natural mtu anapozi
Bila kuambiwa.. tamu sana
....
 
wape salamu sana, waambie huyo mwenye jf anataka waandamane kwani nchi imemshinda.
 
Back
Top Bottom