Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nawasalimuni wote, niko kijijini kwetu,
watu ni wakarimu, wenye upendo na wadadisi mno.
Amini usiamini JAMII FORUMS inafahamika hadi huku.
Wenyewe wanasema JF ni mtandao wa Kikwete unaotumika kuwamulika maadui zake ambao hawako kwenye mtandao.
Wanaendelea kusema Kikwete kamsimamisha kazi Jairo baada ya Kikwete kukaa kwenye Jamii Forum yake na kuona kuna haja ya Jairo kuchunguzwa na bunge.
Hao ndio wanakiji wa kijiji chetu wanavyo ielewa JF.
Nimejaribu kuwaelimisha naonekana mpotoshaji tena mbaya zaidi wameniona gaidi.
Nawatakieni weekend njema.