With money or without money?

With money or without money?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,437
Reaction score
1,027
Nishasikia kina dada kibao tu mtaani,makazini na kwingineko wakisema kwamba ni bora upate mume asiye na pesa au mwenye pesa ya wastani tu kiasi cha kubadilisha mboga.Wengi wa hawa akina dada ni wale waliokwisha tendwa na wapenzi wao na wanaamini pesa ndo kiwavi kilichotafuna mti wa mapenzi yao kwani kabla ya wapenzi wao kuwa na pesa walikuwa watulivu na wenye mapenzi ya hali ya juu.Je,akina dada kuna ukweli katika hii mitazamo ya akina dada wenzenu,na kwetu sisi wanaume je,ni kweli tunabadilika na kuwa na mwenendo hasi kimapenzi tukizipata pesa?
 
Without mtakula macho??With ila awe amezoea pesa sasa sio anakesha akihesabu.Ukweli ni kwamba wapo ambao wakipata wanasahau asili yao na kubadilika kabisa!Hata aliye nae anamwona kama hafai au sio level yake tena kwasababu ye amepatanda kidogo.Binafsi naprefer kumkuta mtu hana tuzisake pamoja..akibadilika basi haikua riziki!So konklusheni ni hivii...mtu akikubali kuendeshwa na pesa badala ya yeye kuziendesha awe anazo au hanazo migogoro haitaisha kwenye mahusiano yake/yao!
 
Jamani, pesa ya kubadilisha mboga na juice baada ya mlo iwepo...lol!
 
Mi wala sitaki mwenye pesa nyingi..
million arobaini US .. na dhani zitatosha kwa muda..
Have a nice day..
 
Kweli mtoa mada yupo sahihi na walichokuw wanakidiscuss hao madada ni kweli, kuwa wanaume wengi sio wote, anapokuja kuzipata pesa anasahau swala la penz la dhati.. Sana sana wanaume wanaotok katik familia za kimaskin ambaz maish yalikuw taabu sana, na ye kajivuta vuta kusoma mpaka amezipata hzo pesa, sasa anachokifany ni kuanz kujipongez na kufuta uchungu wa umaskin aliokuw nao, maan wengi ukiwauliz kwanin wanafany hvyo, utaambiw " ngoja nijipöngez bwana ,nimepitia matatiz meng sana,ngoj nifute uchaf wa umaskn ". Bila hata kujitambua kuwa anajiharibu.. Na pia tatizo jingne ni kuwa ninaweza kusema kuna kule kuiga mambo unapopata fedha, ili upate cifa na kuonekana upo juu... Unaenda bar unakunywa na kuwanunulia wengne,bas wanakuona kama KING,baada ya hapo we ni kuchukua madada wazur wapendao pesa na kutembea nao, na kwavile unapenda hzo sifa bas lazima kila cku uziendelez na kuonekana upo juu kila dakika, na kusahau penz la nyuma la mpenz wako wa kweli aliyekupenda tangu MWANZO ulipokuw huna pesa........ USHAURI: NI vyema kwa sis wanaume kuwa na tabia ya kugeuk nyuma na kuthink twice, kuw nafany hv ili kumfaidisha nani? "ulimweng au yule nimpendae(yaan mke)".. Ukishagundua hilo anza kubadilika... KUNA BANGO NILILIÖNA KWENYE BODABODA FULAN HVI , LIMEANDIKWA KUWA (PATA PESA TUJUE TABIA YAKO)..ni hayo 2 wanajamii.
 
Nishasikia kina dada kibao tu mtaani,makazini na kwingineko wakisema kwamba ni bora upate mume asiye na pesa au mwenye pesa ya wastani tu kiasi cha kubadilisha mboga.Wengi wa hawa akina dada ni wale waliokwisha tendwa na wapenzi wao na wanaamini pesa ndo kiwavi kilichotafuna mti wa mapenzi yao kwani kabla ya wapenzi wao kuwa na pesa walikuwa watulivu na wenye mapenzi ya hali ya juu.Je,akina dada kuna ukweli katika hii mitazamo ya akina dada wenzenu,na kwetu sisi wanaume je,ni kweli tunabadilika na kuwa na mwenendo hasi kimapenzi tukizipata pesa?
Hili ni kawaida kwani mara nyingi wadada huwasaliti wenza wao kwa kuwa hawana kitu, hali kadhalika wanaume nao wakizipata.......
 
Back
Top Bottom