Kweli mtoa mada yupo sahihi na walichokuw wanakidiscuss hao madada ni kweli, kuwa wanaume wengi sio wote, anapokuja kuzipata pesa anasahau swala la penz la dhati.. Sana sana wanaume wanaotok katik familia za kimaskin ambaz maish yalikuw taabu sana, na ye kajivuta vuta kusoma mpaka amezipata hzo pesa, sasa anachokifany ni kuanz kujipongez na kufuta uchungu wa umaskin aliokuw nao, maan wengi ukiwauliz kwanin wanafany hvyo, utaambiw " ngoja nijipöngez bwana ,nimepitia matatiz meng sana,ngoj nifute uchaf wa umaskn ". Bila hata kujitambua kuwa anajiharibu.. Na pia tatizo jingne ni kuwa ninaweza kusema kuna kule kuiga mambo unapopata fedha, ili upate cifa na kuonekana upo juu... Unaenda bar unakunywa na kuwanunulia wengne,bas wanakuona kama KING,baada ya hapo we ni kuchukua madada wazur wapendao pesa na kutembea nao, na kwavile unapenda hzo sifa bas lazima kila cku uziendelez na kuonekana upo juu kila dakika, na kusahau penz la nyuma la mpenz wako wa kweli aliyekupenda tangu MWANZO ulipokuw huna pesa........ USHAURI: NI vyema kwa sis wanaume kuwa na tabia ya kugeuk nyuma na kuthink twice, kuw nafany hv ili kumfaidisha nani? "ulimweng au yule nimpendae(yaan mke)".. Ukishagundua hilo anza kubadilika... KUNA BANGO NILILIÖNA KWENYE BODABODA FULAN HVI , LIMEANDIKWA KUWA (PATA PESA TUJUE TABIA YAKO)..ni hayo 2 wanajamii.