Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

Vitongoji wangewaza fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi. Nyie mngeenda chukua taarifa kwao.
Mnawajua hawa wenyeviti wa kitongoji lakini? Watu watapigwa vibaya sana, hasa wilaya za mipakani au yale makabila yasiyopenda kuhesabiwa..
 
Mkeo na wengi kama yeye ni vichwa maji hawasikilizi (hawaelewi) mafundisho ya darassani halafu wakirudi nyumbani wanataka msaada kwa watu ambao hamkwepo kwenye mafunzo... kinachofuata ni lawama na kejeli
Humu tunatumia fake ids, usidharau comment ya mtu kwa kumpa majina kama hayo wala kwa kukisia kiwango chake cha uelewa..

Kwa taarifa yako, huyo kichwa maji wangu alienda kama karani lkn amemaliza akiwa msimamizi maudhui baada ya kuwapigia 50/50, 47/48, 50/50 hivyo vimitihani uchwara mnavyopewa.

Vipi mwenzetu wewe kichwa chako kisicho na maji umejipangaje kwa ukarani hapo makete😊
 
Posho ni 50 ukitoa 10 ya chakula inabak 40k,nyie Bunda hesabu zenu zikoje
Daah ila kuna uonevu kweli kweli, hapo kuna maofisa watakuwa wanalipwa viwango vipya vya posho vya 220,000 mijini na vijiji 120,000 au nasema uongo wajameni?? [emoji12] [emoji12]
 
Bado haujanielewa nilichokiandika mzee wangu mfumo sio jezi mfumo ni kitu kingine kabisa, hujaona ameeleza kua kuna maeneo akienda GPS inahama inasoma eneo jingine yaan anaenda masaki GPS inasoma gongo la mboto baada ya kujaza inamlazimu kufuta data zote maana amekosea, nikahoji ilifanyiwa majaribio kabla hawajapewa kutumia? Umeelewa
 
NDIo mkuu bado app inahitaji maboresho na ndio maana makarani walipewa tablet mapema ili waweze kubainisha matatizo kama haya yaliyojitokeza,nadhani kila kitu kitakaa sawa
Absolutely, na pia naskia wametoa mwongozo endapo ikatokea by mistake moja ikasave nje unatuma hvyo hvyo zote , nafkr wataleta mrejesho badae nini kifanyike
 
Uzalendo kwanzq
 
Tz hatujawahi kuwa serious kwenye kila kitu [emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Katika vitu ambavyo usipoteze muda ni kuishauri serikali kuhusu ubutu wa mifumo yake.Hakuna atakayekusikiliza.
Mifumo mingi ya serikali ni butu sana,baada ya kurahisisha kazi yenyewe inafanya kazi kuwa mateso.
So sad watalaam wa IT wa serikali wametulia tu.
Sure am telling you,hakuna atakayekusikiliza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
GPS inasoma kwa ufanisi kama haijakingwa na miti au kuwa ndani ya jengo au gari. Ikiwashwa ukasubiri kidogo inapokea signal za satellite.
 
nilijuwa t ilizoezi sio rahis kama inavyo dhaniwa, bila systems kuwa za imara kaz itakuwa ziro, mi nimeojiwa sana dk 10 sasa kama hamna accuracy ya Mtanisamehe
 
Unaonekana unajielewa sanaa hongera mkuu ni wachache wenye kaliba hyo. Tuombe tuu Raisi na hilo mkalifanyie kazi.
 
achana na kitu inaitwa BUNDA DC na BUNDA TC yaan hata majengo ya Halmashauri yameezekwa na Mirunda. Mtafute popote Ally Hapi akwambie Halmashauri iliyomchania mkeka atakwambia. Bunda ni uozo mtupu.
Usitutukanie wilaya yetu ya Bunda wewe.
 
nilijuwa t ilizoezi sio rahis kama inavyo dhaniwa, bila systems kuwa za imara kaz itakuwa ziro, mi nimeojiwa sana dk 10 sasa kama hamna accuracy ya Mtanisamehe
Mkuuu umeghadhabika? Maana kitu umeandika kinaumiza macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…