Witness: Huwezi kumridhisha kila mtu

Witness: Huwezi kumridhisha kila mtu

Hiyo mbele ya chupi ni nini? mbona iko kama nyonyo ya mtoto?! Ukiishiwa nyimbo si ukubali tu kusahaulika, huu sio usanii jamani/
 
Li chupi lenyewe sijui LA kiume?maana halieleweki kama Yale machupi ya yule mchaga wanamuitaga sijui mange
 
Msanii ambaye ni rapper mkongwe wa muziki wa bongo fleva Witness, amefunguka kuhusu picha yake iliyoleta utata kwenye mitandao, na kusema hakuwa na nia mbaya alipoipost.

Witness ameyasema hayo katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kuwa alipost picha hiyo akiwa na lengo la kuwaonyesha watu ni jinsi gani amepungua na kuwaelimisha nini cha kufanya, lakini watu wameichukulia tofauti.

View attachment 336708

Pia msanii huyo amesema hawezi kumzuia mtu kuwa na mtazamo tofauti kwa kupost picha hiyo, kwani binadamu wanatofautiana kimawazo.

“Ni kwamba sisi binadamu tuko tofauti hauwezi ukamridhisha kila mtu, mimi nimeweka kwa lengo la kuelimisha kuhusiana na masuala ya kupungua, mwengine anaona kwa lengo lake yeye mwenyewe tofauti, kwa hiyo malengo yanatofautiana, unaweza ukafanya kitu ukaona hiki kitu kizuri, mwengine akaona kitu kibaya, so now nimeweka hiyo picha kila mtu anasema kivyake, I dont real understand”, alisema Witness.

Pia Witness amewataka watu watambue kuwa pamoja na wao kuwa wasanii lakini wana maisha yao mengine, na kuwataka wamuache aishi maisha yake. “Unatakiwa ufike wakati ambao watu wajue kabisa kwamba sometimes nina vitu ambavyo nnaweza nikaamua kuvifanya, so can they just leave me alone.”, alisema Witness.

Chanzo: East Africa Radio
Okay
 
Mjinga sana Witness.
Nilikuwa namheshimu kidogo kama mdada mpambanaji ila kwa hili kanikera sana.
Kwanini asingevaa kipensi kama alidhamiria kuonesha hadi majapa?
Mbona hiyo tungemuelewa tu?
Mchupi ule kama kavaa pad za maternity?
😡😡
 
Back
Top Bottom