Wito: Anayetaka kuondoka kanisa katoliki (RC) sasa milango iko wazi

Seth saint

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2020
Posts
2,262
Reaction score
5,885
Habari za wakati huu watanzania wote kwa ujumla.

Moja kwa moja katika mada.Kumekuwa na maoni na mijadala mingi kuhusu mwenendo wa kanisa katoliki(RC).Kuna malalamiko ambayo yanasemekana yanatoka kwa waumini wa kanisa katoliki(ambayo sina uhakika kama wanaotoa malalamiko ni wakatoliki kweli)

Mengine ni mamlaka(serikali) kushindwa kusema moja kwa moja lakini ukisikiliza kwa utulivu utagundua hotuba za baadhi ya viongozi wa kiserikali huwa wanatuma ujumbe wao kwa kanisa kwa lengo la kuchukizwa au kulalamikia mienendo ya kanisa au viongozi wa kanisa.

Kwa kifupi sana,RC kwangu ni nyumbani(Nimekulia jimboni(Rulenge-Ngara,kipindi askofu ni Mwoleka na uncle akiwa msaidizi wa askofu)).Kanisa nalijua vizuri tu tena kupita hawa waumini wanaolalamika.

Viongozi wa kanisa wamejitokeza na kutoa msimamo wao kwamba, haki ni jambo la msingi na kama tunahitaji kusonga mbele lazima hili jambo liangaliwe(Nilitoa mada na kuonya juu ya hili kabla ya uchaguzi,matokeo yake mnaona)

Wito wangu;mkatoliki ambaye hupendezwi either na mienendo ya kanisa au viongozi wetu(kuanzia ngazi ya jumuiya,kigango,parokia mpaka jimboni) ruksa kuondoka hakuna atakaye kushika mkono.Hizi kelele na dharau zenu juu ya hili kanisa nawaombeni zikome mara moja(sio kwa waumini au serikali)

Asanteni na Tumsifu Yesu Kristu
 
Well said.
 
Unawaambia wapagani, na WA Islam au wacatolic? Maana wa uvccm sio wacatolic
Yoyote tu maana mada zimekuwa nyingi za wanaojiita wakatoliki kusema wanataka kuondoka.Sielewi wanasubiri nini
 
Mtu hataki kukaa ndani ya RC anasepa. Hang'ang'aniwi mtu hapa.
Waende tu.Hii nchi nadhani inatoa uhuru wa kuabudu kwahiyo sidhani kama mtu akiondoka RC kuna sehemu atashikiwa panga au kisu kwamba kwanini umehama RC.Dharau zikizidi hatutakuwa sawa huko mbeleni
 
Habari za wakati huu watanzania wote kwa ujumla.

Moja kwa moja katika mada.Kumekuwa na maoni na mijadala mingi kuhusu mwenendo wa kanisa katoliki(RC).Kuna malalamiko ambayo yanasemekana yanatoka kwa waumini wa kanisa katoliki(ambayo sina uhakika kama wanaotoa malalamiko ni wakatoliki kweli)

Mengine ni mamlaka(serikali) kushindwa kusema moja kwa moja lakini ukisikiliza kwa utulivu utagundua hotuba za baadhi ya viongozi wa kiserikali huwa wanatuma ujumbe wao kwa kanisa kwa lengo la kuchukizwa au kulalamikia mienendo ya kanisa au viongozi wa kanisa.

Kwa kifupi sana,RC kwangu ni nyumbani(Nimekulia jimboni(Rulenge-Ngara,kipindi askofu ni Mwoleka na uncle akiwa msaidizi wa askofu)).Kanisa nalijua vizuri tu tena kupita hawa waumini wanaolalamika.

Viongozi wa kanisa wamejitokeza na kutoa msimamo wao kwamba, haki ni jambo la msingi na kama tunahitaji kusonga mbele lazima hili jambo liangaliwe(Nilitoa mada na kuonya juu ya hili kabla ya uchaguzi,matokeo yake mnaona)

Wito wangu;mkatoliki ambaye hupendezwi either na mienendo ya kanisa au viongozi wetu(kuanzia ngazi ya jumuiya,kigango,parokia mpaka jimboni) ruksa kuondoka hakuna atakaye kushika mkono.Hizi kelele na dharau zenu juu ya hili kanisa nawaombeni zikome mara moja(sio kwa waumini au serikali)

Asanteni na Tumsifu Yesu Kristu

Hao wahuni wanaojiita wakatoliki wasikuumize kichwa. Hao ni wajumbe na mawakala wa shetani. Hao ndio waliowaua watu Oct 29, damu za watu zinawasumbua, wamebakia kuhangaika hovyo. Ludovick na Mwgulu wanazidi kujipakaa kinyesi.

Kiuhalisia, sisi wakatoliki tunafurahishwa na tunawashukuru sana viongozi wetu wa Kanisa kwa kuyaishi mafundisho ya Mungu wa HAKI, nao daima bila ubaguzi wamesimama katika kuililia haki inayodhulumiwa na watawala bandia, waliokuwa tauari kufanya mauani ya kutisha ili wayapora madaraka ya wananchi.

Mungu wetu tunakuomba, uzidi kuwafedhehesha wote walioshiriki kwa namna yoyote ile kuwaua wanadamu wenzetu. Tunahitaji mkono wako wenye nguvu dhidi ya hawa watu ili watambue kuwa wewe ni MUNGU WA HAKI.
 
Hizi sio dalili nzuri.Kama hii ni mipango ya serikali kufanya haya maigizo na dharau sawa tu tutaona mbona wote tupo.
 
Walisha ondoka kitambo, wamebaki majina tu. Huko ulaya ndio kabisa mpaka. Makanisa yanauzwa. Kila kitu kina mwanzo na mwisho
 
Wanaolalamika si wakatoliki wa imani. Bali wanufaika wa mfumo kandamizi. Wasiotaka mfumo wao ukosolewe kwa kuiba uchaguzi, kuteka, kupoteza na kuua watu. Kwa kisingizio cha kulinda utawala.

Kwa ujumla wale ni wahuni na wanufaika wa kodi kinyume cha sheria
 
Huu ujumbe wako unaufikisha kwa Wakatoliki gani? Ni wapi uliwahi kuwaona Wakatoliki wamevaa vijora na madera? Tena wakiandamana kuwapinga Maaskofu wao wanaokemea maovu na uminywaji wa haki zao, kutoka serikali inayoendeshwa na wahuni?

Fanya utafiti mdogo tu halafu utagundua hayo mavazi yanavaliwa zaidi na viumbe wa upande gani.
 
Hapa sitaki kujua yupi ni mkatoliki na yupi sio?Lengo langu ni wito tu kwa wote wanaopiga kelele na kufanya dharau kwa kanisa.Hivi vitu waache mara moja na kama yupo mkatoliki(binafsi najua namba nzuri ya wapiga kelele sio wakatoliki) ambaye hapendezwi na mienendo ya kanisa au viongozi aondoke tu kuliko hizi kelele
 
Wanaolalamika si wakatoliki wa imani. Bali wanufaika wa mfumo kandamizi. Wasiotaka mfumo wao ukosolewe kwa kuiba uchaguzi, kuteka, kupoteza na kuua watu. Kwa kisingizio cha kulinda utawala.

Kwa ujumla wale ni wahuni na wanufaika wa kodi kinyume cha sheria
Waachane na haya maigizo mara moja hayana maana.Sema wanasema kabla ya anguko uanza kiburi kisha majivuno.Mwenye kusikia na asikie na mwenye kuona na akalione hili
 
Walisha ondoka kitambo, wamebaki majina tu. Huko ulaya ndio kabisa mpaka. Makanisa yanauzwa. Kila kitu kina mwanzo na mwisho
Umekuwa too general.Makanisa ulaya ya wakatoliki yameuzwa nchi gani kiongozi
 
Back
Top Bottom