WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.


mmmmhh . . . .?????
 
Hakuna sababu za msingi za kupelekea Babav kujiuzulu
 
mmmmhh . . . .?????

Khaaa!
We Kipipi vipi ? Una matatizo gani ya ziada ?
Badala uongeze mkazio wa hukumu Baba V akule makitu adimu , we unaishia kuguna na kulichapa lapa! Ukutapo wanashereheka kwa kuuchapa ubwabwa, kanuni nawe ni kunawa na kuangalia pilipili imekaa wapi na kukunja maguu!
Sio uchukue gitaa na kuanzisha muziki .
 
Last edited by a moderator:
mbona mnampiga majungu bossi wangu?????

Watoto wasiotaka kuheshimu ndoa zao na za wenzao wameanza kupiga majungu tume na kamati zake baada ya kuona hatuna mchezo nao. wembe ni uleule
 
Hakuna sababu za msingi za kupelekea Babav kujiuzulu

Wana sababu basi mkuu, tabia zao tu za kutotulia ndo zinawafanya wajistukie na kuanzisha nyuzi kama hizi afu wakibanwa kwa hoja waonapotea kama hivi, kweli elimu ya MZINZI ni Agricultural science
 

Afu we Judgement umenionea wapi snowhite ,nina maswali ya papo kwa PUPA kuelekea kwake
 
Last edited by a moderator:

Sijanywa Redd's leo!
Unanisaidiaje kwa hilo chief judge?
 
Sijanywa Redd's leo!
Unanisaidiaje kwa hilo chief judge?

Yaani Mammiy labda uongee jengine !
Na hivi navyopenda misifa kuzidi wakazi wa kule yanapotoka Matoke!
Na kwakua always mie wallet langu silifungaki zipu !
Ni wewe na yako roho! Kula kitu nafsi yako yataka!
Mie jukumu langu nikute karatasi ya bills tu.
Afu hiyo Redd's si nasiakiaga haichelewi kudropu ?
Na ikikudropia what else?
 
Baba V,subiri tulale kwanza,kimbembe utakiona kesho.
 
Last edited by a moderator:
viruka njia wameanza kumtisha mwkiti wetuee?baba v simamia majukumu yako vema usirudi nyuma na kamatiyako.wahalifu hawawezi kukupenda kamwe.
 
nipo hapa!nambie!af umemtuma huyu Judgement akusolololee kwangu au!?manake siwaelewi

Eee ndiyo kanituma nikutafute ! Afu nakusamambaje? Mbali nakunituma nikutafute, pia kanituma na mavitu mengine kibao!
Hold on just a little bit !
Tunajipanga iwe kimkwanja! Kimistari ! Kinini we subiri mlazo wa qibla !
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…