Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Yaani Mammiy labda uongee jengine !
Na hivi navyopenda misifa kuzidi wakazi wa kule yanapotoka Matoke!
Na kwakua always mie wallet langu silifungaki zipu !
Ni wewe na yako roho! Kula kitu nafsi yako yataka!
Mie jukumu langu nikute karatasi ya bills tu.
Afu hiyo Redd's si nasiakiaga haichelewi kudropu ?
Na ikikudropia what else?
Kwa hiyo mi ninywe we utakuja kulipa?
Na usipotokea?
Fungua hilo wallet basi na wewe unigee jamani au tuongozane wote!
Redd's kwangu ni kawaida tu, haijawahi nidropia
Labda ianze leo kwa sababu ya offer yako!
Mbu sijui wametokea wapi hawa ?ngoja nijifunike shuka hadi kichwani na mwandani wangu
Kwa hiyo mi ninywe we utakuja kulipa?
Na usipotokea?
Fungua hilo wallet basi na wewe unigee jamani au tuongozane wote!
Redd's kwangu ni kawaida tu, haijawahi nidropia
Labda ianze leo kwa sababu ya offer yako!
Achape lapa....
unamtisha?
Mpango ni shoulder to shoulder ! Huyu katangulia, yule anakuja nyuma sio fomula!
Na kwa mida hii late hrs haitokua rahisi nikurejeshe hom kwako!
Nimeshatandika dabodeka yangu mi ntalala juu , we chini !
Wala usiwe na doubt na lolote ! Sanasana utaamka asubuhi na mibaraka , kwa kua umelala kwa mchamungu!
Hiyo ndy ratiba.
nipo hapa!nambie!af umemtuma huyu Judgement akusolololee kwangu au!?manake siwaelewi
Here you are, nimekutafuta sana ati!!, judgement ni mtu mwenye upeo wake mkubwa tu haihitaji kutumwa au kuagizwa kutenda jambo
tiririkaaaaa!enhe.......
Haya maswali ni yako binafsi nitakufikishia kwa njia muafaka....
viruka njia wameanza kumtisha mwkiti wetuee?baba v simamia majukumu yako vema usirudi nyuma na kamatiyako.wahalifu hawawezi kukupenda kamwe.
hahahahahhahaah bhatu bana akili sana!ahsante Invisible na wenzio kwa kuweka haya makitu ya PM
haya nakusubiri!fasta basi kabla sijaamka nikapike chai mie!
Aisee week end ni aje veve!??