WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

yaani na aliyepewa rungu anafanya uchafu kama huu?
 

Hilo halina shida kabisa,
Nitarejea mwenyewe.
 
Nani anataka lawama?
Sitokubali eti niku'allow uundoke peke yako uje upate tatizo kwa njia familia yako ije inimeze!
Dabodeka itakuhusu tu! Pasipo debate.


Hahahaaaa
Wakati natoka sikuogopa matatizo itakuwa muda wa kurudi??

Alafu acha maneno mengi bana mwishoe kiu itaisha!
 
Ona sasa Baba V kawa BANNED tayari!!
Tunakuwaje na mwenyekiti anaye shinda jela?
 
Last edited by a moderator:
Naunha mkono anguko lake,alishindwa kufika kwa wakati wakati nataka kuandikisha ndoa yangu na Zion Daughter...ni mzembe na mvivu......aaah...aondokeeeee
 
Last edited by a moderator:
Heri umfariji huyo mpenzi wako aisee maana inaonyesha ana machungu hadi anabadilisha maneno... duh
Unajua mtarajiwa wangu majany hadi namuonea huruma kwani hata nyumbani wametia ngumu ..Baba Mwita Maranya anataka ng'ombe 500 na yeye ndo mtumishi wa umma na hata ufisadi haujui ,Kaka yangu noahism naye hataki shemeji (sijui anataka nizeekee nyumbani).Cousin Nicas Mtei yeye at leat kidogo anaelekea lakn mhhhh...
 

Ajipange upya, au ni hiyo avatar yake inawatisha wanajua atakuwa msema hovyo.!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…