WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

ha ha ha ha ha ha.....kaaz kweli kweli
 
hahaaaa iyo nafasi naitaka sana kwa udi na uvumba ivi uchanguzi lini?
 
Duuh.. Kwa hiyo Eliah G Kamwela ni teja wa ban..? Ila Baba V lazima kuna mtu amem-provoke mpaka akasema hilo lilisababisha ban kwake.. Its not good kwa kweli..

Huyo eliah huwa ukipita mwezi hajapata ban yuko radhi hata amtukane mod ili apekekwe selo, Baba V walimkera wale jamaa manaong'ang'ania kuchinja akasema anataka wamchinjie kitimoto wake, moto ukaanzia pale
 
Last edited by a moderator:
Huyo eliah huwa ukipita mwezi hajapata ban yuko radhi hata amtukane mod ili apekekwe selo, Baba V walimkera wale jamaa manaong'ang'ania kuchinja akasema anataka wamchinjie kitimoto wake, moto ukaanzia pale

We Ndelejha,mi nimeamua kuokoka na kubatizwa jina jipya kabisa,hunioni tena huko jela!!
 
Last edited by a moderator:
Sijafanya utetezi na sina haja ya kufanya hivyo,kazi niliyoifanya kwa kushirikiana na kamati zangu inaonekana kwa uwazi na kila mwana chit chat. Nilichofanya ni kuwakumbusha kuweka ushahidi tu

Jamani, munatuambia tumng'oe, mbona kumchagua hamkutushirikisha.
 
khaaa!aya asa uko unaenda kufanya nini na utarudi lini maana mchakato ukianza hapa patakuwa hapatoshi

Kuna kaoffer Super Eagles wametusababishia, sasa nimeona nisikakose. Nitarudi ndani ya wiki ijayo, nikifika tu ntakutafuta asap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…