Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Haswaa mimi ni supporter wa jiwe 100% na siwezi badilika ila inashangaza kujifanya mpinzani kumbe kiuhalisia ni chawa wa watu flani ndani ya ccm

silalamiki magufuri kufa, amemaliza utumishi wake.
Amemaliza utumishi wake wakati alisema atatawala milele kupitia chawa wa ccm! Kufuru kubwa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
 
aliyeingiza nchi kwenye magogoro ya kidiploasia
 
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
huna hoja wewe kapuku
 
Hyo rushwa ya ngono nawe ni muhanga au???
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
 
Tunapoandika haya mambo huwa hatubahatishi , Utapeli wa Kabudi aliotumwa na bosi wake wote mmeusikia
 
🙄 'Na ndiyo maana nikachagua Waziri Kichaa kichaa kama mimi...." Hiyo ilikuwa funga kazi maana alikiri mwenyewe!
😵
 
Wewe ni mtoto wa Mwalimu aliyetumbuliwa kwa kuwa na cheti fake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…