Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Haswaa mimi ni supporter wa jiwe 100% na siwezi badilika ila inashangaza kujifanya mpinzani kumbe kiuhalisia ni chawa wa watu flani ndani ya ccm

silalamiki magufuri kufa, amemaliza utumishi wake.
Amemaliza utumishi wake wakati alisema atatawala milele kupitia chawa wa ccm! Kufuru kubwa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
 
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
huna hoja wewe kapuku
 
Hyo rushwa ya ngono nawe ni muhanga au???
Mbona kamati kuu ya chadema haomfungulii kesi Mbowe kwa kutumia madaraka yake vibaya??

Rushwa ya ngono ikitumika viti maalumu.

Subiri kesi ya kina Mdee ianze kuunguruma tusikie mengi.
 
Tunapoandika haya mambo huwa hatubahatishi , Utapeli wa Kabudi aliotumwa na bosi wake wote mmeusikia
 
Mshtakiwa wa kwanza anapaswa kuwa Chikawe aliyekuwa Waziri anayeisimamia TISS.

TISS walikwishamaliza kazi kwa kuleta faili la psychiatry la Magufuli lakini Chikawe alilificha hakupeleka Kamati Kuu ya CCM.

Hivyo tumetawaliwa na kichaa kuanzia October 2015 hadi March 2021.


Atakayebisha hii hoja kuwa Magufuli hakuwa KICHAA, nitatafuta clip na kuiweka hapa ambayo alikiri mwenyewe kuwa yeye na Luaga Mpina aliyekuwa Waziri wa Uvuvi ni vichaa
🙄 'Na ndiyo maana nikachagua Waziri Kichaa kichaa kama mimi...." Hiyo ilikuwa funga kazi maana alikiri mwenyewe!
😵
 
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala
Wewe ni mtoto wa Mwalimu aliyetumbuliwa kwa kuwa na cheti fake!
 
FB_IMG_1665831491154.jpg
 
Back
Top Bottom