Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

We
wewe na fikra zako ovu shukuru mungu.
 
Sijui alikutumbua nini stuxnet. Au ndio mlikua wezi wa TSA. Mlijibinafsishia bila kulipa sumuni mkagawana majumba na mali eti ni kampuni yenu. Nyooo hakika Jpm aliwakomoa.
 
Sijui alikutumbua nini stuxnet. Au ndio mlikua wezi wa TSA. Mlijibinafsishia bila kulipa sumuni mkagawana majumba na mali eti ni kampuni yenu. Nyooo hakika Jpm aliwakomoa.
TSA ndiyo nini? No matter what Magufuli hakustahili kuwa Rais wetu. Tulipigwa big time na CCM. Imagine Rais wa kulala kwenye mawe kama kenge??
 
Mkuu sasa Kibatala wa watu afanyanye nini, ndie apeleke shauri mahakani?
 
Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Mkuu suala hili la Mh. Magufuli halihusiani na vyama, Rais ni wa wote anajadiliwa kwa hadhi hiyo.
 
Kwa sisi wa Tanzania magu ilitakiwa atawale milele

Wabongo wavivu sn akitokea mtu atuambie ukweli tunaanza kusema ni dictator
Mkuu jina lako linakutabanisha, wewe ni mbinafi, ingekuwa bahari ya Hindi ungeipeleka kijijini kwenu
 
Ebu kwanza tuwekee hapa jamvini level of their education before kuwafungulia mashtaka, ili tuone kama kweli hicho unacho kisema kitafaa

Nafikiri hata elimu zao ni magumashi,
 
Sasa tunaye Rais ambaye anajua kwamba kazi No. 1 ya Urais ni kulinda Wananchi wake na Mali zao. Hongera sana. Ila napenda kuwakumbusha My. Kubenea na J. J. Mnyika, kwamba wakati wanaweka jiwe la uzinduzi wa barabara ya Morogoro Road njia 8 ya Kimara -Mbezi pale Stop-Over walimuomba Rais wa wakati huo awahurumie waliobomolewa nyumba zao, wakazi wa Kimara na Mbezi kwa kupisha ujenzi huo. Rais huyo aliwakatilia lakini wabunge hao waliwataka waliobolewa kutunza hati zao za nyumba zilizibolewa kwa maelekezo kwamba anaweza kuja Rais mwingine wakapata huruma yake. Hivyo nawakumbusha Ndugu Mnyika na Kubenea kufikisha kilio hicho cha watu wa Kimara na Mbezi kwa Mama, maana wale
wa Mwanza walipata msamaha wa Rais wa wakati huo. Aidha mimi mwenyewe nimuombe Mh. Dr. Rais, Mama S. S. Hassan awa-awangalie wakazi wa eneo hilo kwa jicho la tatu.
 
TSA ndiyo nini? No matter what Magufuli hakustahili kuwa Rais wetu. Tulipigwa big time na CCM. Imagine Rais wa kulala kwenye mawe kama kenge??View attachment 2544734
wewe ndio haunazo umejaa chuki ya kutumbuliwa labda. Yaani mengine yoote ya uchumi na kijamii aliyofanya huoni unachoona ni yeye kulala kwenye miamba. Unamjaji kwa sababu uselfish tu.
 
wewe ndio haunazo umejaa chuki ya kutumbuliwa labda. Yaani mengine yoote ya uchumi na kijamii aliyofanya huoni unachoona ni yeye kulala kwenye miamba. Unamjaji kwa sababu uselfish tu.
Wewe na akili zako unaweza kujianika kwenye miamba kama huyo HAYAWANI wa Chato. Jibu hili kwanza ndipo tuendelee
 
Akikuachia mimba changa!
 
Naunga mkono hoja. Lakini Mungu anaipenda Nchi yetu sana. Maana pamoja na makosa ya akina Kikwette kumpitisha 2015 lakini alipoamua kuiba uchaguzi wote wa 2020, Mungu hakumuacha avuke March 17, 2021.

Endelea kuungua na moto Magufuli
Unamaanisha kama aliiba uchaguzi kwa hiyo hata Rais tuliyenae si halali? Maana alitokana na uchaguzi huo, ni hivyo?
 
Kichaa aliyemudu kuanzisha miradi mikubwa ya mkakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…