Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Acha kuweweseka kijana. Je kiongozi wa magaidi kuongoza kikao cha kamati kuu kumpitisha mgombea urais ni jambo jepesi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pinda huyohuyo alimshangiliaalipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo
KabisaMiongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala
Let clip mkuu Kama ushahidiMshtakiwa wa kwanza anapaswa kuwa Chikawe aliyekuwa Waziri anayeisimamia TISS.
TISS walikwishamaliza kazi kwa kuleta faili la psychiatry la Magufuli lakini Chikawe alilificha hakupeleka Kamati Kuu ya CCM.
Hivyo tumetawaliwa na kichaa kuanzia October 2015 hadi March 2021.
Atakayebisha hii hoja kuwa Magufuli hakuwa KICHAA, nitatafuta clip na kuiweka hapa ambayo alikiri mwenyewe kuwa yeye na Luaga Mpina aliyekuwa Waziri wa Uvuvi ni vichaa
Hakuna aliowaacha salama. Chama lake lenyewe kaliacha linavuja damu, au unajifanya huoni???Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Mdasimrefu nawewe utaunga mkono juhudi za mama nawenzako watasema umefika bei.Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala
Tukutane Mahakamani ukatoe huo utetezi wakoKama chadema mlivyotuletea mgombea aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond.
Labda akawe rais wa milele wa Pori la BurigiYule alipaswa atawale milele Tanzania, hatutaka rais Lele mama , Ila wanachama wa CDM hawawez elewa
Hatuwezi kufungua kesi kubwa kama hii kimya kimyaSi lazima kuanzisha sredi
Kamati ya chadema imeshindwa kuhusu covid 19 Sasa unakimbilia CCM.Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Wewe ni mmachinga ?Mimi sio mwana CCM,ila Magufuli yule alikuwa chuma. Mwanzo sikumuelewa,ila kwa sasa nimeelewa Tanzania inahitaji sana Raisi wa aina ile.
Ona ujenzi wa miundombinu yote iliyojengwa kipindi chake,iliisha ndani ya muda mfupi bila kuremba kutengeneza mpigo.
Yeye ilikuwa akienda mahala panahitaji daraja,au barabara atatoa tu maagizo kesho lianze matengenezo. Na linaisha. Sio kama sasa mpaka kamati nyingi ziundwe,zipige mipigo kwanza,upembuzi sijui
Hii nchi kila anaeteuliwa anafikiria kupiga dili tu. Ona aliowapiga pembeni akina makatani,kwa sasa anapiga dili hatari pale tanesco ona napi sasa anazunguka tu na helicopter namna ya kutengeneza mpigo ukae vizuri.
Ona watendaji ofisi za serikali,kipindi chake walikuwa wanawaheshimu wananchi. Nenda sasa ofisi yoyote ya umma,utazungushwa sana (kama hujui kujiongeza utageuka bila kuhudumiwa na hakuna jambo dogo)
Yule bwana alikuwa na madhaifu yake machache, lakini Tanzania aliikimbiza sana,ona miundombinu aliyoijenga kipindi chake kwa muda mfupi tu. Wengine walishindwaje?
Labda akawe NYANGOGO wa kudumu huko BurigiKwa vyovyote vile, Magufuli ndie rais sahihi kwa Tz
We acha ujinga inamaana hujawahi muona mbowe kavaa barakoa?Kamati ya chadema imeshindwa kuhusu covid 19 Sasa unakimbilia CCM.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Unaruhusiwa hata wewe kuwafungulia kesi chadema kama unadhani kuna mashikoVp kuhusu wale waliompitisha FISADI lowassa kuwa mgombea wao hiyo 2015,mbona hujatoa wito wafanywe nini?