Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo
Pinda huyohuyo alimshangilia
 
Mimi sio mwana CCM,ila Magufuli yule alikuwa chuma. Mwanzo sikumuelewa,ila kwa sasa nimeelewa Tanzania inahitaji sana Raisi wa aina ile.

Ona ujenzi wa miundombinu yote iliyojengwa kipindi chake,iliisha ndani ya muda mfupi bila kuremba kutengeneza mpigo.

Yeye ilikuwa akienda mahala panahitaji daraja,au barabara atatoa tu maagizo kesho lianze matengenezo. Na linaisha. Sio kama sasa mpaka kamati nyingi ziundwe,zipige mipigo kwanza,upembuzi sijui

Hii nchi kila anaeteuliwa anafikiria kupiga dili tu. Ona aliowapiga pembeni akina makatani,kwa sasa anapiga dili hatari pale tanesco ona napi sasa anazunguka tu na helicopter namna ya kutengeneza mpigo ukae vizuri.

Ona watendaji ofisi za serikali,kipindi chake walikuwa wanawaheshimu wananchi. Nenda sasa ofisi yoyote ya umma,utazungushwa sana (kama hujui kujiongeza utageuka bila kuhudumiwa na hakuna jambo dogo)

Yule bwana alikuwa na madhaifu yake machache, lakini Tanzania aliikimbiza sana,ona miundombinu aliyoijenga kipindi chake kwa muda mfupi tu. Wengine walishindwaje?
 
Kabisa
 
Let clip mkuu Kama ushahidi
 
Mdasimrefu nawewe utaunga mkono juhudi za mama nawenzako watasema umefika bei.
 
Kamati ya chadema imeshindwa kuhusu covid 19 Sasa unakimbilia CCM.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 


Vp kuhusu wale waliompitisha FISADI lowassa kuwa mgombea wao hiyo 2015,mbona hujatoa wito wafanywe nini?
 
Wewe ni mmachinga ?
 

Pamoja na madhaifu yake yote but atleast aliweza kutuaminisha kuwa Sisi ni watu ambao tunatakiwa kujikwamua Kwa pamoja

Alikaaa na Sisi tanzania Kwa miaka yote mitano, alitudanganya Kwa kukata posho za Safari za ulaya ni much better

UONGO WA MAGUFULI ULIKUWA NA AFYA KULIKO UKWELI TUNAOPATA SASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…