Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015


Ukiambiwa udhibitishe unaanza kulialia
 
Inaonekana wazi ww ni jambazi sugu,au ni mtu uliyefoji vyeti,au ni mra rushwa mkubwa ,au ni mhuni mkubwa kutoka kundi la wahuni wezi wa mali ya umma,mlioiba mali zote za CCM.Au mtoto au ni mwenyewe mzee wa Msoga muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya.Au ww ni Bulembo mwizi mkubwa wa mali za CCM.Koma kabisa kuleta nyuzi Kama hizi ,atutaki upumbafu.Na tunataka katiba mpya.
 
Yatosha sasa tuachane na mambo ya Mwendazake twende mbele.
 
Bado najiuliza kiumbe kinasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Nchi itakuwa mifupa.
 
Kwanini hamkuwawekea zuio Tume na Mahakamani baada ya kuteuliwa ?
 
Chikawe alikuwa Waziri wa Mambo ya ndani wakati wa mchakato wa uchaguzi na TISS haipo chini ya Home affairs.… nawe ushtakiwe kwa kusema uongo
 
Magufuli likuwa chuma, katuachia fly over, madaraka, vifuko, Barabara, meli, ndege, daraja la Tanzanite, bwawa la Nyerere, train ya umeme sasa tumpate wapi Rais Kama huyu
 

Unamdharau sana kibatala kwa maujinga unayoandika.
 
Nchi yetu itachukua karne nyingi kupiga hatua, kwa sababu tunapenda viongozi lelemama wenyekutubembeleza na wenye kutoa maneno matupu. Akipatikana mtu mtendaji tunalalamika sana hasa tuliozoea kuishi maisha ya ujanjaujanja. Hali hii imepelekea nchi yenye uhuru zaidi ya miaka sitini kuendelea kuomba misaada hata ya kujengewa matundu ya vyoo vya shule n.k
 
kwa hiyo mkuu we uliliona jengo tu?, ikiwa limejengwa katika sehemu ya barabara ulitaka liachwe ilihali lilipo sehemu sio sahihi??
pale iilkuwepo stendi ikavunjwa sembuse kipande cha hilo jengo?
 
Naunga mkono hoja. Lakini Mungu anaipenda Nchi yetu sana. Maana pamoja na makosa ya akina Kikwette kumpitisha 2015 lakini alipoamua kuiba uchaguzi wote wa 2020, Mungu hakumuacha avuke March 17, 2021.

Endelea kuungua na moto Magufuli
Yaani nimecheka mpaka basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…