Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Wewe ni mmachinga ?
Ni mfanyabiashara,sawa alitunyanyasa sana pia wafanyabiashara. Lakini ukiangalia kwa upande mwingine ile hali ya wafanyabiashara kunyanyaswa ni watendaji tu wa T.R A kipindi hicho waliamua kutumia mgongo wa kukusanya kodi kwa minajiri ya kujinufaisha wao.

Kwa hiyo ilikuwa wakija kwangu wananitisha hivi,ili mkae mezani. Na kumbuka kilichokuwa kinaingia serikalini ktk yale makusanyo ya unyang'anyi ule ni 30% mpaka 40 hapo,mengine yalikuwa yanaishia mfukoni. Nina uhakika hilo halikuwa lengo lake watu wafanyiwe walichokuwa wanafanyiwa na mengi alikuwa hayajui nyuma ya pazia
 
Walitutia aibu kubwa ikulu ya Nyerere kukaliwa na mwehu
 
Walitumia aibu kubwa ikulu ya Nyerere kukaliwa na mwehu
 
Aliemuingiza hapo ili kumkomoa jk nae tatizo ni marehemu labda wakabomoe lile kaburi ili kufuta kumbukumbu huko mbeleni kwa vizazi vijavyo
 
locus standi iko kwa bodi ya wadhamini, sio kamati kuu, uwe unasoma soma, hili jukwaa la watu makini
 
Wanaojitambulisha kama chama kikuu Cha upinzani hivi sasa wanacheza tune moja na chama tawala. Hawana mawazo mbadala wa kutatua changamoto za wananchi. Kwa miaka 5 ilopita hawakuwa na hoja zaidi ya kuzuiwa uhuru wa kusema baaas.
 
Kaburi lake lipigwe pingu
 
Umesahau hasara ya MV bagamoyo,
Iliyonunuliwa mbovu
 
Kumbe Lowasa ni fisadi? Sasa huko ccm mnaye kwa hiyo mna wanachama mafisadi?


Yeah kwani we hujui kwamba CCM kuna wanachama mafisadi??....

unaweza ukatuambia hapa ilikuwaje mpaka na nyinyi mkampokea FISADI lowassa na kumsimamisha kuwa mgombea wenu wa urais?


Au na nyinyi ndio wale wale tu (MAFISADI) ila hamjapata tu nafasi?
 
Yaani unataka kusema kwamba unashindwa kuona uhusiano wa nilichouliza na hii thread yako?...

basi sawa endelea na harakati zako za kuifungulia kamati kuu ya CCM mashitaka !!
hiyo sentensi yako ya mwisho ni ya maana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…