Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Umetia moshi kwenye mzinga wa nyuki
 
Magufuli's crimes are here for everyone to see. Waliomweka washughulikiwe ipasavyo
 
Ni makosa makubwa yalifanyika japo wamejaribu kurekebisha ila itachukua muda sana .
 
Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania......

Wazee wetu walimwaga damu zao katika Vita vya majimaji na matokeo yake wakazaliwa wale wazee wafanyakazi wa bandari....nao wakaizaa TAA....nao wakamjukuu TANU....hatimaye kitukuu chema CCM hichoooo......

Wewe utaandamwa na mizimu shauri zako.....

Hivi hujaisoma historia ya kule Bagamoyo wewe?!!!

Akina Shaykh Ramia ,watu wake na Mwalimu Nyerere?!!!

Unaichokoza mizimu ya huko na ya Kolelo ?!!! Si ndio eeee?!!!

Kitovu cha Tanzania kimeshazikwa na anayetaka kukifukua yatamkuta yakumkuta....shauri zenu......

Huu ndio ukweli....utake usitake....kwa kuwa maji yaliyoko BILAURINI hata kama ukiyakataa kuyanywa kamwe haitabadilisha yasiitwe MAJI......

Nimemaliza.....

#Siempre CCM🙏
 
Nothing lasts longer
 
Pia uwashtaki na wananchi waliompigia kura. [emoji1787]
 
Pia uwashtaki na wananchi waliompigia kura. [emoji1787]
Ushahidi unaonyesha kwamba hakuwahi kuchaguliwa na wananchi , kama unabisha Muulize Kinana , Kipilimba na January
 
Wewe hamnazo.


Kwa niaba ya wafuasi wa JPM
 
We mwenyewe kichaa na faili tunalo bisha tulianike hapa..😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…