Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Watakuambia kuwa walimpitisha agombee na sio kuwa walimpitisha awe Rais. Wao kumpitishia kuwa mgombea hakumaanishi tayari anakuwa Rais, wanaomfanya kuwa Rais ni wengine
 
CCM ilichagua mgombea mwenye viwango hafifu kiuongozi.
Kulaumiwa ni sawa kabisa na kuwajibika ingalau kwa tamko la kuwaomba radhi Watanzania ni haki kabisa.
 
N
Nakaziaaa
 
Uzi bora kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2022...Kudos
 
Naunga mkono hoja. Uteuzi wa Magufuli kuwa mgombea wa CCM Kisha kuwa Rais ilikuwa ni "Political Fraud" of the highest order.
 
Kweli aliwahi kusema. Kumbe bado na Mpina? 2025 asirudishwe!
 
Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Na wana ccm pia.
Aliyesema wa kwanza kuwa alikuwa kichaa ni mwana ccm tena kiongozi wa ccm mkoa!
 
Sasa mlitaka kila week watu wanataka maandamano ya UKUTA? Inchi gani kila week watu wanataka kuwa mtaan?
Tangu afe yamefanyika maandano gani zaidi ya kuzungusha dead body yake nchi nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…