Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Wakati huo
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala
Watufungulie mashtaka na sisi tuliompa kura. Yaani tunasema hv, sa hivi hata wakiweka picha yake na mgombea wa chadema, picha ya JPM itachukua dola. 😂
 
Wakati huo
Watufungulie mashtaka na sisi tuliompa kura. Yaani tunasema hv, sa hivi hata wakiweka picha yake na mgombea wa chadema, picha ya JPM itachukua dola. [emoji23]
Utakuwa umelogwa
 
Jina la JPM mtalipaka matope sana lakini hata mie sielewi kwa nin watu walimuelewa kiasi kile. Maza mnayesema anaupiga mwingi wanaomuelewa wengi ni nyie mnaopita ikulu kunywa gahawa na nauli ya mguu 😀😀
 
Siyo kurogwa, sema uwezekano huo haupo ungejaribu uone JPM alivyokuwa kipenzi cha watu mitaani huku na si wa mitandaoni kam ninyi. [emoji23][emoji23]
Hawa waliopo jamii forums hawaishi mtaani? Mbona una hoja dhaifu hivyo!

Hapa kuna aina zote za watu ambao ndo wapo mtaani. Kuna wasomi, wasio wasomi, wakulima, wafugaji, wafanyabiashara nakadhalika. Wote hawa wanaishi mtaani.
 
Kwani humu umegundua wote hawampendi JPM? Hoja siyo dhaifu we ndo dhaifu maana unataka kelele za mitandaoni ndo zifanane na za mitaani. Mfn. Katiba mpya inasemwa sana mitandaoni kuliko mitaani tunapokaa. Chuki ztakuua na tuzo iliyotolewa Samia mwenyewe kakiri alostahili kuipokea ni mtangulizi wake kwa kazi kubwa aliyoifanya kipindi cha uongozi wake.
 
Wewe unaonekana ni shahidi muhimu
 
hii nyuzi sikuiona mapema, hivi ndugu una akili timamu? au kujipendekeza kwa kikwete kunakufanya uwe hivi!
 
Naunga mkono hoja. Lakini Mungu anaipenda Nchi yetu sana. Maana pamoja na makosa ya akina Kikwette kumpitisha 2015 lakini alipoamua kuiba uchaguzi wote wa 2020, Mungu hakumuacha avuke March 17, 2021.

Endelea kuungua na moto Magufuli
Alifikiri kuiba uchaguzi ingemuacha salama.. tulioibiwa tulipiga dua, tukalaani, litokeee la kutokea..
Na hili liwe fundisho kwa Samia.. akijaribu kufanya aliyoyafanya jiwe atakuwa mgeni wa Allah..

Sisi hatuibiwi uchaguzi.. period
 
Lengo la hii mada ni kujipendekeza full stop

Kinachochekesha siku hizi unaweza kutambua kirahisi upinzani wa nchi yetu ni wa aina gani, inashangaza kuona kumbe chadema na act ni machawa wa ccm.
Chawa wa Jiwe mnafahamika , lakini ndio hivyo tena ... DUNIA HAINA HURUMA
 
Chawa wa Jiwe mnafahamika , lakini ndio hivyo tena ... DUNIA HAINA HURUMA
Haswaa mimi ni supporter wa jiwe 100% na siwezi badilika ila inashangaza kujifanya mpinzani kumbe kiuhalisia ni chawa wa watu flani ndani ya ccm

silalamiki magufuri kufa, amemaliza utumishi wake.
 
Haswaa mimi ni supporter wa jiwe 100% na siwezi badilika ila inashangaza kujifanya mpinzani kumbe kiuhalisia ni chawa wa watu flani ndani ya ccm

silalamiki magufuri kufa, amemaliza utumishi wake.
labda kama umeamua kuchekesha jukwaa , mimi niwe chawa wa ccm !
 
Back
Top Bottom