Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

Kuna watu wanafikiri kujificha kwenye hoja ya ushoga itasaidia sana, kuna ishu nyingine ambazo wamezi address kama maswala ya usalama binafsi wa watu, uhuru wa habari, uhuru wa kujumuika na ushiriki wa vyama vya upinzani kwenye chaguzi zenye usawa na haki. Kwa hiyo tufanye mambo yetu tukiwa na haya kichwani..
 
Sijawahi kujiunga huko
But ngoja nikaipakue hiyo application
 
Back
Top Bottom