mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao
Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo
1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia wasikubali kupokea nafasi za viti maalumu kwenye bunge la Muungano
2.Waunde kamati ndogo ya ushirikiano itakayoendesha Muungano wa vyama hivi kwa kipindi hiki kigumu
3.Sasa tujenge miundombinu ya vyama vyetu ikiwemo office na media
4.Kamati hiyo ndogo iweke utaratibu wa sisi wapenda haki kuchangishana ili tuuanze ujenzi wa ofisi za chama kila wilaya ambapo ni kama 3.3bilion ukiwa kila wilaya itatumia shilingi 15M ,ambapo ni sawa na kila aliyetupigia kura kutoa shilingi elfu 5 tuu.
Tusizubae ,tusilalamike sana washatupora na kesi zinaendelea mahakamani.
Tujikaze kiume tuwaonyeshe sisi ni zawadi toka kwa Mungu
CHADEMA ACT Wazalendo Zitto CHAUMMA Tanzania
Tundu Lissu Tumaini Makene
Molemo Erythrocyte