Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

Wewe kama nani? bunge limeitishwa kwamujibu wa sheria kuanzia tangazo la rais mpaka kufika muda huu pamoja na mapungufu yote..we unataka livunjwe kwa mamlaka yapi kisheria? Mbulumundu mmoja!
 
Wewe kama nani? bunge limeitishwa kwamujibu wa sheria kuanzia tangazo la rais mpaka kufika muda huu pamoja na mapungufu yote..we unataka livunjwe kwa mamlaka yapi kisheria? Mbulumundu mmoja!

Sheria zote zinatungwa na binadamu na zinaweza kutenguliwa na biandamu. Hakuna sheria zilizotungwa na Mungu.

Kinachoendelea kule Dodoma ni kituko cha ajabu sana. Lakini ni mfano tosha wa unafiki wa uongozi wa CCM wa kuendeleza siasa za vitisho na kung'angánia madaraka. Kwa nini wanakataa kura ya siri?

Tulichonacho ni kielelezo tosha kuwa kitu kinaitwa Demokrasia hakipo kabisa nchini kwetu. CCM wameona kwa hali ilivyo itakuwa ni vigumu sana kuiba kura kwa hiyo inabidi kulazimisha wajumbe wake kupiga kura kwa namna fulani tu.
 
Back
Top Bottom