Jamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.
Ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza. Ushauri mzuri pale mtu anapopatwa na tatizo ni ule ambao hata hilo tatizo lingekupata wewe ungeweza kuchukua uamuzi huo na sio kumshauri mtu kitu ambacho wewe huwezi kufanya. Ulieandika ushauri huu hapa bila ya shaka wewe mwenyewe utakuwa ushazitoa za kutosha tu!!. Shetani amekamata ufahamu na akili zetu ndo maana sehemu ambayo unategemea kuona mawazo/ushauri kutoka kwa 'Great Thinkers', unakuta mawazo/ushari unatolewa utadhani anayetoa huo ushauri katoka usingizini. Ukiachilia mbali kuwa utoaji wa mimba ni kitendo cha dhambi na kisichokubalika mbele ya jamii zetu za kitanzania, pia tujiulize kuwa wewe na mimi kama Mama zetu wangeamua kuzitoa mimba walizobeba tukazaliwa sisi leo tungekuwepo hapa duniani? Kutoa mimba ni uuaji sawa na uuaji wa aina nyingine yoyote, kiumbe kilicho tumboni hakistahili adhabu hiyo ya kukikatishwa haki yake ya msingi ya kuishi Muombe Mungu akutie amani, nguvu na uvumilivu ili uweze kujifungua salama na umlee mwanao na iwe fundisho kuwa mimba sio kitu pekee kinachopelekea wanaume kutangaza ndoa.toa mwaya,life is too short kuanza kung'ang'ana na ulezi mwenyewe.:tape2:
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa