Mwanaume anayetaka kuzaa na wewe na kukuoa, amaye ni Mwanaume serious, yaani kakaa kigentlemen sio tapeli tapeli wa maneno, utamjua kadri muda unavyokwenda, hatokuwa interested na wewe sana ukizungumzia suala la kuwa na watoto naye wala ishu za kuwish ndoa au kuoana naye, usijidungishe, mdanganye kuwa wewe ni mjamzito kabla hujajidungisha kikweli, akiapriciate, huyo sawa, akilalamika kuwa hakuwa tayari, hakujiandaa kulea familia but hawezi kukutelekeza wewe na mtoto, atachukua jukumu la kukutunza, huyo sawa, ila muangalie asije akatoroka na mtoto akakuacha, si ajabu ukute anazuga kumbe ana wake anayemzimia zaidi, akikuruka kabisa, kimbia achana naye, si wa maana huyu, danganya kwamba una mimba firstly uone reaction yake, usijibebeshe kiukweli, utalia my Dear