Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingependeza wawe na ligi yao wasituvurugie raha ya ligi.Wachezaji wa Tanzania wengi wanatumia nguvu kuliko akili..
Kama hizi timu za Majeshi, Jkt Tanzania, Polisi Tanzania, Tanzania Prison wako rafu sana.
Kwa hiyo tuendelee kufumbia macho tabia hii?Saa zingine tupunguze mahaba ya usimba na uyanga tuzungumzie mpira. Huyo Morrison akiwa Yanga alikuwa anachezewa rafu za ajabu kana kwamba Kama vile mabeki wanamkamia makusudi ili aumie hasa pale baada ya kupewa sifa kuwa Morrison ni fundi (baada ya mechi ya Singida vs Yanga) unataka kuniambia Simba walikuwa wanahusika kutoa ela ili Morrison aumizwe?
Tupaze sauti kwa kila mchezaji anayechezewa hovyo kwa makusudi nasio kudai haki kwa kuegemea upande mmoja tu. Mfano mtu anaandika Morrison, Bwalya na Miquissone walindwe hapo anajenga tafsiri gani kama sio wachezaji kadhaa wapewe usimazi maalumu na waamuzi lakini wengine ni ruhusa kufanyiwa undava undava.Kwa hiyo tuendelee kufumbia macho tabia hii?
nilivyoona umeitwa mpumbavu niliona sio sawa,ila niliporudi kusoma nimejiridhisha hutumii akili. kwani hapa tumesema nini. Nchimbi alikanyangwa Wawa watu hawakupiga kelele? au mpaka niseme mimi?au kama haikusemwa ndio iwe ndo utaratibu?
Tupaze sauti kwa kila mchezaji anayechezewa hovyo kwa makusudi nasio kudai haki kwa kuegemea upande mmoja tu. Mfano mtu anaandika Morrison, Bwalya na Miquissone walindwe hapo anajenga tafsiri gani kama sio wachezaji kadhaa wapewe usimazi maalumu na waamuzi lakini wengine ni ruhusa kufanyiwa undava undava.
Nyinyi tumewazoea kwani Tambwe alipokuwa simba akachezewa rafu na beki wa jkt mlicnekelea ila alipohamia yanga akafanyiwa rafu.na beki yuleyule mkapiga kelele kama mnajiamini mcheezeeni rafu tarehe 18 sio mnatumia timu pinzaniSaa zingine tupunguze mahaba ya usimba na uyanga tuzungumzie mpira. Huyo Morrison akiwa Yanga alikuwa anachezewa rafu za ajabu kana kwamba Kama vile mabeki wanamkamia makusudi ili aumie hasa pale baada ya kupewa sifa kuwa Morrison ni fundi (baada ya mechi ya Singida vs Yanga) unataka kuniambia Simba walikuwa wanahusika kutoa ela ili Morrison aumizwe?
Mwandishi kaanza na hao.Hajasema wengine si ruksa!Tupaze sauti kwa kila mchezaji anayechezewa hovyo kwa makusudi nasio kudai haki kwa kuegemea upande mmoja tu. Mfano mtu anaandika Morrison, Bwalya na Miquissone walindwe hapo anajenga tafsiri gani kama sio wachezaji kadhaa wapewe usimazi maalumu na waamuzi lakini wengine ni ruhusa kufanyiwa undava undava.
Wawa na Mkude ndo hodari kabisa wa rafu za makusudiWawa na Chama waanaokanyaga wenzao makusudi mbona huwasemi
Nchimbi alikanyagwa na Wawa makusudi hatukuona bandiko lako hapa, kuhusu waamuzi kuwalinda wachezaji,Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.
Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio bure. Jana katika mechi ya JKT alifanyiwa,haikutosha yule mchezaji wa JKT akamkanyaga mkononi kwa makusudi.
Wito wangu kwa marefa ni kwamba huyu dogo anahitaji kulindwa na kuangaliwa kwa karibu sana. Ulinzi kama huo hutolewa hata katika mechi za wenzetu hasa kwa mastaa ambao huonekana kukamiwa na timu pinzani.
Sio Morrison pekee,wapo kina Miqsonne, Bwalya, Chama na Tuisila Kisinda nk
Muwe mnasoma mpaka mwisho. TK si ametajwa hapo.Hata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisa
Nakumbuka match moja ya JKT vs Simba mwaka juzi kama sikosei. Walipania wachezaji wa Simba mpaka walipopewa nyekundu ndio rough zikapunguaWachezaji wa Tanzania wengi wanatumia nguvu kuliko akili..
Kama hizi timu za Majeshi, Jkt Tanzania, Polisi Tanzania, Tanzania Prison wako rafu sana.
kwa hiyo. kuna member hapo juu kasema ukibishana na wapumbavu na wewe utakuwa mpumbavu. anaweza kuwa sawaNchimbi alikanyagwa na Wawa makusudi hatukuona bandiko lako hapa, kuhusu waamuzi kuwalinda wachezaji,
Chama alimchezea faulo mbaya fei Toto n hatkuona bandiko lako hapa,kuhsu waamuzi kuwalinda wachezaji,
Tatizo uliwahi kuipenda Simba kabla ya kuupenda mpira kwanza,
Football is game of fair play.
Wewe ulileta hoja hapa ya Chama na Wawa tukashindwa kuijadili...??Nchimbi alikanyagwa na Wawa makusudi hatukuona bandiko lako hapa, kuhusu waamuzi kuwalinda wachezaji,
Chama alimchezea faulo mbaya fei Toto n hatkuona bandiko lako hapa,kuhsu waamuzi kuwalinda wachezaji,
Tatizo uliwahi kuipenda Simba kabla ya kuupenda mpira kwanza,
Football is game of fair play.
Kwani nilichoandika hakikutokea?sometimes tumia akili basi bro,sio unapinga kila kitu
Mtoa post hajaonesha ushabiki wa simba yake ndo maana kamtaja na Tuisile, kwa sababu aina ya uchezaji wao ni rahisi sana kufanyiwa madhambi, lakini hayo madhambi yawe ya kimpira sio ya makusudi ka lililompata Morison.Hata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisa