Wito kwa referees: B. Morison na wenzake wanahitaji kulindwa

Wachezaji wa Tanzania wengi wanatumia nguvu kuliko akili..
Kama hizi timu za Majeshi, Jkt Tanzania, Polisi Tanzania, Tanzania Prison wako rafu sana.
 
Wachezaji wa Tanzania wengi wanatumia nguvu kuliko akili..
Kama hizi timu za Majeshi, Jkt Tanzania, Polisi Tanzania, Tanzania Prison wako rafu sana.
Ingependeza wawe na ligi yao wasituvurugie raha ya ligi.
Alichofanyiwa BM3 kiliwakera wengi na si uungwana.
 
Kwa hiyo tuendelee kufumbia macho tabia hii?
 
Kwa hiyo tuendelee kufumbia macho tabia hii?
Tupaze sauti kwa kila mchezaji anayechezewa hovyo kwa makusudi nasio kudai haki kwa kuegemea upande mmoja tu. Mfano mtu anaandika Morrison, Bwalya na Miquissone walindwe hapo anajenga tafsiri gani kama sio wachezaji kadhaa wapewe usimazi maalumu na waamuzi lakini wengine ni ruhusa kufanyiwa undava undava.
 
Nliona hoja yake ni ya kipumbavu.mleta hoja kamtaja mpaka tuisila kisinda. But pia hata kama asingetajwa hiyo haimaanishi kuwa na wengine wasilalamike. Haiwezekani mtoto wako kapigwa na vibaka unaenda kushtaki mwingine anasema mbona na wangu alipigwa nikanyamaza tu. Kama aliona ni sawa wake kupigwa mimi niseme nini? TUNAKATAA MPIRA WA KUUMIZANA MCHEZAJI YEYOTE HAPASWI KUUMIZWA KWA MAKUSUDI.


nilivyoona umeitwa mpumbavu niliona sio sawa,ila niliporudi kusoma nimejiridhisha hutumii akili. kwani hapa tumesema nini. Nchimbi alikanyangwa Wawa watu hawakupiga kelele? au mpaka niseme mimi?au kama haikusemwa ndio iwe ndo utaratibu?
 
Kawataja wachezaji anao wafahamu ulitaka ataje wa ligi nzima?kwa nini wewe usingeongeza wa kwako? Alikukataza kutaja wengije uwajuao?

 
Nyinyi tumewazoea kwani Tambwe alipokuwa simba akachezewa rafu na beki wa jkt mlicnekelea ila alipohamia yanga akafanyiwa rafu.na beki yuleyule mkapiga kelele kama mnajiamini mcheezeeni rafu tarehe 18 sio mnatumia timu pinzani
 
Mwandishi kaanza na hao.Hajasema wengine si ruksa!
 
Ukibishana na wapumbavu utaambukizwa upumbavu wako.
Mleya mada tumekuelewa.
 
Nchimbi alikanyagwa na Wawa makusudi hatukuona bandiko lako hapa, kuhusu waamuzi kuwalinda wachezaji,

Chama alimchezea faulo mbaya fei Toto n hatkuona bandiko lako hapa,kuhsu waamuzi kuwalinda wachezaji,

Tatizo uliwahi kuipenda Simba kabla ya kuupenda mpira kwanza,

Football is game of fair play.
 
Wachezaji wa Tanzania wengi wanatumia nguvu kuliko akili..
Kama hizi timu za Majeshi, Jkt Tanzania, Polisi Tanzania, Tanzania Prison wako rafu sana.
Nakumbuka match moja ya JKT vs Simba mwaka juzi kama sikosei. Walipania wachezaji wa Simba mpaka walipopewa nyekundu ndio rough zikapungua
 
kwa hiyo. kuna member hapo juu kasema ukibishana na wapumbavu na wewe utakuwa mpumbavu. anaweza kuwa sawa
 
Wewe ulileta hoja hapa ya Chama na Wawa tukashindwa kuijadili...??
 
Hata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisa
Mtoa post hajaonesha ushabiki wa simba yake ndo maana kamtaja na Tuisile, kwa sababu aina ya uchezaji wao ni rahisi sana kufanyiwa madhambi, lakini hayo madhambi yawe ya kimpira sio ya makusudi ka lililompata Morison.
Nb, huyo Callitho ni muoga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…