Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

Mimi sio Mwanajiolojia lakini Mkoa wa Singida kwenda hadi Tabora na haswa Wilaya ya Igunga kweli pale hapakosekani Mafuta pale kweli?

Kenya pia walikuwa wakisema hawana Mafuta mpaka mchimba visima vya Maji huko Turkana alipokuwa aki drill Maji yakatoka Mafuta.

Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.
Hata morogoro Huku kilosa,mvomero yapo
Mkuu kweli?
 
Kampuni yenyewe inaitwa Tolow Oil kama sikosei juzijuzi tena imepata pigo.

I think the biggest blow Project Oil Kenya—the discovery, in 2021, of oil deposits in Turkana County—has suffered so far is the recent withdrawal of two of the joint venture partners. Canadian firm Africa Oil and the French oil major Total Energies have quit, leaving Tullow Oil as the monopoly in the core product.31 May 2023

Viongozi wa Africa ni selfish Sana, kila kitu anataka amiliki yeye Pekee na familia, badala wa share na wezie ili kujenga umoja.uzalendo.

Biashara Tanzania ni nyingi Sana, Lakin DSE ni kichekesho.
DSE ukiangalia list za masoko , unaweza ukacheka ,

Biashara nyingi tz zinafanywa na politics ambazo hazilipi Kodi kiamilifu
 
Kweli mzee , muulizenu Mzee wa bagamoyo anazo research ameficha kwenye safe zake
 
Mafuta yapo tena kwa historia kabisa,achilia huku kwetu bara,Zanzibar wanayo hazina ya mafuta kuliko waliyonayo waarabu,inasemwa kuwa miamba ya mafuta waliyonayo waarabu kina chake kipo mitaa ya Pemba,kuna sehemu inaitwa Meli mbili hapa kipo drilled wakati wa utawala wa Sultani (wazee ndivyo wanavyo hadithia) na iliwahi kudhukuriwa habari hio wakai wa kampeni za CUF wakati ule wa maalim Seifu.

Tulipo ni marejeo ya enzi za habari za usulutani
Since the start of oil and gas exploration in Tanzania, a total of 96 wells have been drilled so far and 44 of them turned successful with natural gas worth 57.4 trillion cubic feet. The wells include two drilled in Zanzibar-Pemba block which Dr Mwinyi said contain 3.8 trillion cubic feet of natural gas.

Tuachaneni na mabeberu wa kizung tuhamie China Urusi yaani hawa jama hawana noma kabisa watatuzchimbia mafuta na kwa wao kupata au kuchukua faida ndogo sana,

Ila mabeberu na mafahali wao kila siku ni exploration mpaka kiyama.
 
Mimi sio Mwanajiolojia lakini Mkoa wa Singida kwenda hadi Tabora na haswa Wilaya ya Igunga kweli pale hapakosekani Mafuta pale kweli?

Kenya pia walikuwa wakisema hawana Mafuta mpaka mchimba visima vya Maji huko Turkana alipokuwa aki drill Maji yakatoka Mafuta.

Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.
Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani hayachimbe

Sisi tunachoweza ni kuwekeza kwenye wakata mauno tu waimba amapiano singeli bongo movie

Ova
 
Mafuta yapo tena kwa historia kabisa,achilia huku kwetu bara,Zanzibar wanayo hazina ya mafuta kuliko waliyonayo waarabu,inasemwa kuwa miamba ya mafuta waliyonayo waarabu kina chake kipo mitaa ya Pemba,kuna sehemu inaitwa Meli mbili hapa kipo drilled wakati wa utawala wa Sultani (wazee ndivyo wanavyo hadithia) na iliwahi kudhukuriwa habari hio wakai wa kampeni za CUF wakati ule wa maalim Seifu.

Tulipo ni marejeo ya enzi za habari za usulutani
Since the start of oil and gas exploration in Tanzania, a total of 96 wells have been drilled so far and 44 of them turned successful with natural gas worth 57.4 trillion cubic feet. The wells include two drilled in Zanzibar-Pemba block which Dr Mwinyi said contain 3.8 trillion cubic feet of natural gas.

Tuachaneni na mabeberu wa kizung tuhamie China Urusi yaani hawa jama hawana noma kabisa watatuzchimbia mafuta na kwa wao kupata au kuchukua faida ndogo sana,

Ila mabeberu na mafahali wao kila siku ni exploration mpaka kiyama.
Sidhani kama ni Kweli kuwa eti shida ni mabeberu,
Ni viongozi wenu wa serikali kuu wanajingezea 10% Kwa manufaa Yao ndio maana mikataba inafichwa kama sehemu za Siri.

Hata aje mchina, India bado hamtaona faida Yamana.
Mikataba iwekwe government archive documents kila mtz auone, siri za nini kwenye Mali za wananchi.
 
Back
Top Bottom