Mimi sio Mwanajiolojia lakini Mkoa wa Singida kwenda hadi Tabora na haswa Wilaya ya Igunga kweli pale hapakosekani Mafuta pale kweli?
Kenya pia walikuwa wakisema hawana Mafuta mpaka mchimba visima vya Maji huko Turkana alipokuwa aki drill Maji yakatoka Mafuta.
Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.
Mkuu kweli?Hata morogoro Huku kilosa,mvomero yapo
Ubinafsi🤣🤣🤣🪑Wenzako wanapiga pesa ndefu kwenye uagazaji wa mafuta
Kampuni yenyewe inaitwa Tolow Oil kama sikosei juzijuzi tena imepata pigo.
I think the biggest blow Project Oil Kenya—the discovery, in 2021, of oil deposits in Turkana County—has suffered so far is the recent withdrawal of two of the joint venture partners. Canadian firm Africa Oil and the French oil major Total Energies have quit, leaving Tullow Oil as the monopoly in the core product.31 May 2023
Ndiyo maanakeUbinafsi🤣🤣🤣🪑
Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.[emoji419][emoji375]Mimi sio Mwanajiolojia lakini Mkoa wa Singida kwenda hadi Tabora na haswa Wilaya ya Igunga kweli pale hapakosekani Mafuta pale kweli?
Kenya pia walikuwa wakisema hawana Mafuta mpaka mchimba visima vya Maji huko Turkana alipokuwa aki drill Maji yakatoka Mafuta.
Wenyeji walipomuuliza akawawaambia ni Maji machafu akenda kuwachimbia sehemu nyingine yeye akaziba kile Kisima akaenda kuuza siri kwenye Makampuni makubwa akavuta mpunga lakini nasikia alifuatiliwa na kuuwawa.
Usamehewe kwa kukosa uelewa.Mafuta yapo mengi tu. Uvivu wa kuyatafuta na kuyachimba.
Watauza yote wagawane pesa yoteIla yasichimbwe sasa kwa utawala huu!
Sidhani kama ni Kweli kuwa eti shida ni mabeberu,Mafuta yapo tena kwa historia kabisa,achilia huku kwetu bara,Zanzibar wanayo hazina ya mafuta kuliko waliyonayo waarabu,inasemwa kuwa miamba ya mafuta waliyonayo waarabu kina chake kipo mitaa ya Pemba,kuna sehemu inaitwa Meli mbili hapa kipo drilled wakati wa utawala wa Sultani (wazee ndivyo wanavyo hadithia) na iliwahi kudhukuriwa habari hio wakai wa kampeni za CUF wakati ule wa maalim Seifu.
Tulipo ni marejeo ya enzi za habari za usulutani
Since the start of oil and gas exploration in Tanzania, a total of 96 wells have been drilled so far and 44 of them turned successful with natural gas worth 57.4 trillion cubic feet. The wells include two drilled in Zanzibar-Pemba block which Dr Mwinyi said contain 3.8 trillion cubic feet of natural gas.
Tuachaneni na mabeberu wa kizung tuhamie China Urusi yaani hawa jama hawana noma kabisa watatuzchimbia mafuta na kwa wao kupata au kuchukua faida ndogo sana,
Ila mabeberu na mafahali wao kila siku ni exploration mpaka kiyama.