Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV

Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV

Weee thubutu!!
Yani serikali ikubali kuonyesha mubashara jinsi inavyopigwa spana na team ya kina kibatala??
Raia tumenyimwa haki ya kuona mashahidi wanavo sulubiwa na Pilato (Kibatala) sambamba na wafuasi wake, jinsi wanavyopigwa spana za vichwa.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom