Wito kwa wataalamu wa bihashara ya uuzaji na ununuzi wa hisa na masoko ya mitaji!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Husika mada tajwa hapo juu!
Binafsi nitambua umuhimu wa biashara hii kwa sababu nimekua nikijielekeza katika eneo hilo hivi karibuni kwa nsaada wa tovuti kadhaa mtandaoni ,ninaamin kupitia uelewa wa mambo haya wengi wetu tutaweza kufaidika biashara kwa kujipatia mitaji na faida zingine mbalimbali.kwa Tanzania hii ni fursa ambayo wengi wetu hatujaitambua na wachache walioitambua wanaifanya kwa woga,ninatoa mwaliko kwa mwanajf yoyote wenye uelewa wa kutosha ktk eneo hili atengeneze thread yenye taaluma hii kwa kina waweza kuwa Msaada kwa wengi!
Nawasilisha!
 
Mdau,
Sisi kama, SEN tumelipokea ombi lako, na tunalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom