Mkuu sijui hiyo bangi unayovuta inatoka mlima upi wa maweYour comment shows how incompetent you people in CCM are.So Rais anapatikana kwa kutajwa tu anakuwa?!Acheni ujinga na uzumbukoko ninyi.Kumpata Rais wa nchi is a process.
Kule utapiamlo ni wa asili kama kifoAgain,this is a stupid comment.Tanzania yote inahitaji kutolewa kwenye makucha ya "mkoloni" CCM.Afterall ni aibu anywhere in Tanzania leo kuwa na utapia mlo,63 years after independence.It just shows how miserably CCM has failed Tanzanians.
Naunga mkono hoja 👍👏Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.
NB: Please share this message widely.
Unatuomba wewe kama nani? Who pays you? Kinyume chake tutauliza kwa nini vyeo vikubwa vyote serikalini vilikuwa vya wachagga na wapemba! Tunatka majibu kwa nini TRA, CRDB iko hivyo ilivyo hadi alipokuja JPM? NA TUTAULIZA KWA NINI +255 hajaenda Moshi na ArushaSawa, hao wakioleta hali hiyo basi wote tushirikiane kuwaondoa madarakani.
Mimi naamini ote wanaosoma mada za humu, hakuna hata mmoja mwenye muda wa kwenda kukaa foleni na kusubili kupiga kura. Hata lucas mwashamba hana muda huo..anaongeaga tu humu.
Wanaopiga kura wapo huko vijijini na wengine tangu wazaliwe hata kupata chakula kwa wasiwasi, lakini ndio wapigakura namba moja.
sijui utatumia njiagani kuwashawishi hadi wakuelewe kwa hicho unachosema.
EEEeenHEEEeeeee!Wewe ni wazi ni li CCM.Naomba nirudie,huwezi kufanya jambo hilo hilo kwa njia hiyo halafu utegemee matokeo tofauti,it is stupid.What you have suggested ndiyo tuliyofanya miaka yote,kwa hiyo matokeo yatakuwa Yale Yale.Wizi wa kura na kutoweza kuhoji matokeo mahakamani.Afterall mahakama ni za CCM na huwezi kuhoji matokeo mpaka yatangazwe.Hizo zote ni njia za kujihakishia ushindi.
Ya tatu nimeitaja kwa kuwa wananchi wa 2025 sio wa 2015.Wananchi wa 2025 wanaifahamu vizuri CCM, kwamba ni Chama kiovu hell bent kulinda maslahi ya watu wachache na kuendeleza kuwakandamiza by any means possible.For me enough is enough,CCM must go.
Acha kujidanganya. Kama vyombo vya dola vitakuwa vimelala ndo patachimbika.Tunapiga sana kura. Na 2025 tumeapa kulinda kura zetu. Patachimbika. Hatukubali tena mambo ya goli la mkono.
Kasi ya mama samia inawapeleka putaMtu dumb kama wewe hu-deserve my attention!
Kususia sio wazo zuri hasa kwa kuzingatia uzoefu wa Zanzibar baada ya CUF ya Maalim kususia marudio ya uchaguziNi miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.
NB: Please share this message widely.
Walau wewe umekuja na wazo lenye kuzingatia uhalisia,swali linabaki je,wapiga kura wana utashi,utayari na ujasiri huo?Tunapiga sana kura. Na 2025 tumeapa kulinda kura zetu. Patachimbika. Hatukubali tena mambo ya goli la mkono.
Lazima wewe utakuwa li-CCM.Kususia sio wazo zuri hasa kwa kuzingatia uzoefu wa Zanzibar baada ya CUF ya Maalim kususia marudio ya uchaguzi
Usitusemee, jisemee mwenyewe, mimi nawataka CCM na kazi iendeleeNi miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake na kiuhalisia na za kwetu pia,zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania wenzangu ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha tu CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.
NB: Please share this message widely.
Kasi gani na wew mbona unakaza ubongoUnajidanganya au kasi ya mama samia imekuchanganya nini.
Tunataka kuwe na a fair competition.Wakishinda kihalali hatuna shida.Ilivyo sasa CCM wanatumia uharamia na nguvu kuwatawala Watanzania na hii haikubaliki.Huwezi kuwa na Tume uliyoiteua wewe na Katiba inayokulinda,halafu useme kuna a free and fair election,huo ni udanganyifu.Tunataka kuwe na Tume Huru isiyowalinda na Katiba isiyowalinda come 2025.Usitusemee, jisemee mwenyewe, mimi nawataka CCM na kazi iendelee
Kasi ya nini,mikataba fake,kupora rasilimali zetu na ufisadi kila kona ya nchi,usingekuwa mjinga zaidi aisee.Kasi ya mama samia inawapeleka puta