Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #201
Ni mpuuzi tu anayeza kuamini this is possible kama imeshindikana miaka yote hiyo👉Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako👈.Nadhani juhudi yako hapa ni kujaza tu kurasa kwenye hii mada yako, la sivyo sioni chochote cha maana unachoongezea katika maandishi yako toka mwanzo.
"Call for action". Ya kuhimiza waTanzania wasipige kura ili CCM angalao wajue hatuwataki, pamoja na kwamba watang'ang'ania madarakani?
"Call fo action" ipo wapi katika yooote uliyokwishayaandika humu tokea mwanzo wa mada yako. Umeweka mapendekezo yoyote ya kuzuia hata mamluki wa CCM wasiende kupiga kura?
"Call fo action". Umependekeza lolote nani asimamie na kuratibu hiyo 'Call for action'?
Unajaza maneno ya kiujumla jumla tu humu, ili mradi mada iendelee, au siyo?
Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako.
Sasa wewe tukutegemee kwa lipi hasa!
Kufanya jambo hilo hilo hilo tena na kwa mbinu hiyo hiyo na kutegemea matokeo tofauti ni stupidity.